Cnn wanamchukia Trump hivyo kazi yao ni kurelease fake news ili kujenga chuki,,kikubwa ni screening kwa hao green card holder kama wakirudi kutoka mataifa saba yenye wasiwasi lakini wakiwa wameenda nchi zisizo kwenye list wanakuwa hawakaguliwi sana au kunyimwa nafasi ya kurudi..Wageni wengi hawataki kukubali kwamba Marekani ina uongozi mpya wenye mambo mapya.