Ibrahim300
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 391
- 69
King of rap a.k.a the Prezident Prezzo ameendelea kutisha haswa baada ya kujinunulia gari jipya la mamilioni aina ya Crystler.
Tukio lake la mwisho ni pale alipokuwa akishoot video yake mpya ambapo aliamua kumwagia pesa 'stripper' ambaye alikuwa akimstarehesha yeye na marafiki zake.
Yote haya yalitokea Karen, jijini Nairobi.
Kibiri Ngoma huyo inakisiwa alitoka na zaidi ya pesa za Kenya Ksh 200,000.
Hii ni dalili ya kuonyesha kuwa Prezzo ni kati ya wasanii wanaolipwa zaidi nchini Kenya.
Chanzo Prezzo Am'miminia Pesa Kibiriti Ngoma Katika Danguro - bkuHABARI