dracular
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 769
- 1,073
Habari za asubuhi ndugu zangu wa jf,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31na mwenye urefu wa cm172 na uzito wa kg 66. Mwaka jana nlikuwa kwenye masailiano ambayo yanahitaji mtu apimwe afya yake.. nilikuwa safi kwa magonjwa yote isipokuwa waligundua pressure yangu ipo juu.
Vipimo vilikuwa vinasoma mpaka 172/105 hivyo ikapelekea mimi kukosa fursa hiyo. Niliporudi home nilijitafakari sana na kuanza kuchukua tahadhari za kupambana na ugonjwa huo kwanza nikaenda hospital kupima na majibu yakasomeka 130/80 na daktari yule akaniambia sina tatizo lolote la pressure kwani hata mapigo yangu ya moyo sio kama ya mgonjwa wa pressure (alitumia ile mashine ya kusikiliza maskioni).
Basi nikasema ngoja nikahakikishe tena hospital nyingine kule majibu yakasomeka 152/95 Dr. Akasema nichukue tahadhari hivyo mimi nikaamua kununua mashine na kuanza kujipima nyumbani na majibu yangu yakawa yana range 129/87.
Sasa ndugu zangu naombeni ushauri wenu nifanyaje ili niwe vizuri pia kwaajiri ya masailiano yajayo?
Na kwanini nikipimwa na daktari pressure inakuwa juu?
Nawakilisha kwenu ndugu zangu.
Nime attach na baadhi ya matokeo ya vipimo ninayopima hapa nyumbani