Bila kuahidi au kutokuahidi ilikuwa na ni lazima aeleze kilichotokea.kukaa kimya kuna halalisha tukio lenyewe,kukaa kimya kunafanya jambo lionekane la kawaida na nikumaanisha ni ruksa waliomteka waendelee na utekaji wao.pia nikutudharau tuliopaza sauti zetu kudai aliemteka amuachie.Roma anapaswa kueleza yote na hayo makubaliano yakuachiwa ni haramu hayana uhalali wowote.