mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,507
Habari za Asubuhi Wakuu,
Taarifa kutoka TRA zinazosambaa mitandaoni kuhusu kutoa ufafanuzi kuhusu VAT je ni za kweli?
Mwenye taarifa za kweli atuambie.
mbona bandiko silioni
Kama kweli ni 'maelekezo' yenye nia njema why should we hold patience!? ...why further issue guidelines!?TRA waache siasa katika mambo ya kitaalamu. Katika mfano waliotoa kwenye Press release, hiyo VAT ya TZS 180/- mwisho wa siku itakatwa kwenye balance yangu iliyoko bank, vinginevyo itabidi niilipe on Cash. Kwahiyo, TRA wanaposema 'customer deposits will not be affected' sio kweli.
sio kweli. nchi hii ukisema hiki ukafanya kile hakuna wa kuuliza. chaji zimeongezeka kwa wateja na sio kama wanavyosema,TRA waache siasa katika mambo ya kitaalamu. Katika mfano waliotoa kwenye Press release, hiyo VAT ya TZS 180/- mwisho wa siku itakatwa kwenye balance yangu iliyoko bank, vinginevyo itabidi niilipe on Cash. Kwahiyo, TRA wanaposema 'customer deposits will not be affected' sio kweli.
Hii ina maana kuna ziada ya Tshs. 180/= unapofanya miamala ya kibenki. Ina maana mshahara wako ukipitia benki utalipa kodi mara mbili! Kwa maana ya kodi ya mapato ya mshahara na kodi ya kufanya miamala ya kibenki!sio kweli. nchi hii ukisema hiki ukafanya kile hakuna wa kuuliza. chaji zimeongezeka kwa wateja na sio kama wanavyosema,
banki walitoza 1000 kwenye ada za shule. sasa ni 1180, vat imeongeza tozo za huduma!!...........
Bank charges siku zote huwa zinakatwa kwenye salio lako; ulitaka wakakate wapi?TRA waache siasa katika mambo ya kitaalamu. Katika mfano waliotoa kwenye Press release, hiyo VAT ya TZS 180/- mwisho wa siku itakatwa kwenye balance yangu iliyoko bank, vinginevyo itabidi niilipe on Cash. Kwahiyo, TRA wanaposema 'customer deposits will not be affected' sio kweli.
Bank watalipa VAT wakipewa huduma Benki kuu au Mabenki mengine. Lakini mimi na wewe tukipokea hudma benki ile tozo tutailipia VAT.wakuu mwenye taarifa za ukweli atoe.
Hilo bandiko mimi nimeweka tu, kama ni kweli mtu athibitishe.
Na kama ni kweli kwanini TRA walisema siku ile kwenye press conference kwamba mteja hatachajiwa. Nakumbuka vizuri walisema Bank ndo watalipa hii VAT.
Sasa iweje watoe directive kwa Kiingereza kwamba mteja ndo alipe. Lugha yenyewe iliyotumika hata msomi kuielewa inahitaji uwe na dictionary karibu.
Unatakiwa kufanya "Tax planning" kama ulikuwa unaenda kutoa pesa mara nne kwa mwenzi, andaa bajeti ya mwezi na ukatoe pesa mara moja kwa mwezi utaokea VAT ya miamala mitatu.Hii ina maana kuna ziada ya Tshs. 180/= unapofanya miamala ya kibenki. Ina maana mshahara wako ukipitia benki utalipa kodi mara mbili! Kwa maana ya kodi ya mapato ya mshahara na kodi ya kufanya miamala ya kibenki!