PRESS RELEASE: TANZANIA RULAR ENERGY AGENCY

SHADOWANGEL

JF-Expert Member
Sep 15, 2014
528
349
Source
PRESS RELEASE: TANZANIA RULAR ENERGY AGENCY

WIZARA YA NISHATI NA MADINI

Wakala wa Nishati Vijijini (REA)

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

KIKAO CHA WAKANDARASI WANAOTEKELEZA MIRADI YA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI AWAMU YA PILI

DAR ES SALAAM: TANZANIA, 21 MACHI 2016.
Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (MB) ameandaa kikao cha siku tatu kwa ajili ya kukutana na wakandarasi wakubwa (Main Contractors) na wakandarasi wadogo (Sub-Contractors) wanaotekeleza miradi ya kusambaza umeme vijijini Awamu ya Pili kwa lengo la kutathimini maendeleo ya utekelezaji wa miradi hiyo.

Vikao hivyo vitafanyika kuanzia tarehe 29 hadi 31 Machi, 2016 katika ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Nishati na Madini. Kila mkandarasi azingatie muda uliooneshwa kwenye ratiba na barua walizotumiwa.

Imetolewa na:

MKURUGENZI MKUU
WAKALA WA NISHATI VIJIJINI (REA)
20 SAM NUJOMA, 14414
P O. BOX 7990
DAR-ES-SALAAM.
 
Vikao hivyo vitafanyika kuanzia tarehe 29 hadi 31 Machi, 2016 katika ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Nishati na Madini. Kila mkandarasi azingatie muda uliooneshwa kwenye ratiba na barua walizotumiwa.
Duh, kweli heshima ya matumizi inaanza kurejea serikarini. Yaani waziri aliyekataa kusafiri kwa vile alipewa ticket isiyo ya 1st Class kwenye ndege leo anakubali kufanyia mkutano muhimu kama huu kwenye ukumbi wa wizara badala ya Serena!
 
Back
Top Bottom