Y Yodoki II JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 5,517 Reaction score 4,009 Sep 10, 2015 #21 GreenCity said: ungejua Slaa, hataki hata kusikia jina la Gwajima au Kubenea! anawaogopa kuliko risasi! Click to expand... Hao wote ni zero brain,hakuna wa kulinganisha na Dr.Andunje Gwajima sina hakika hata km amemaliza Std Seven.Kubenea chizı na kithethe chake.Km hamjuı ni kwamba alisha mjibu kule Kyela.
GreenCity said: ungejua Slaa, hataki hata kusikia jina la Gwajima au Kubenea! anawaogopa kuliko risasi! Click to expand... Hao wote ni zero brain,hakuna wa kulinganisha na Dr.Andunje Gwajima sina hakika hata km amemaliza Std Seven.Kubenea chizı na kithethe chake.Km hamjuı ni kwamba alisha mjibu kule Kyela.
maonomakuu JF-Expert Member Joined Jul 24, 2015 Posts 2,516 Reaction score 1,198 Sep 10, 2015 #22 stroke said: Kubenea alituambia Lowasa ni Fisadi na anao Ushahidi, Sasa anatuambia Lowasa si Fisadi na anao ushahidi, huyu mtu si wa kumwamini hata kidogo. Click to expand... Kweli lakini kaambiwa ukweli wa Richmond ni wa baba mkubwa wa CCM sasa mbona hajitokezi kukanusha?
stroke said: Kubenea alituambia Lowasa ni Fisadi na anao Ushahidi, Sasa anatuambia Lowasa si Fisadi na anao ushahidi, huyu mtu si wa kumwamini hata kidogo. Click to expand... Kweli lakini kaambiwa ukweli wa Richmond ni wa baba mkubwa wa CCM sasa mbona hajitokezi kukanusha?
R.B JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 6,296 Reaction score 2,578 Sep 10, 2015 Thread starter #23 maonomakuu said: Kweli lakini kaambiwa ukweli wa Richmond ni wa baba mkubwa wa CCM sasa mbona hajitokezi kukanusha? Click to expand... tupia document ; sio mfa maji?????? yeye kama PM aliandika barua tunaomba feedback (copy) ya mkuu kama alihusika . tunae na kujifanya karudi ccm ccm oyeeeeeeeeee,
maonomakuu said: Kweli lakini kaambiwa ukweli wa Richmond ni wa baba mkubwa wa CCM sasa mbona hajitokezi kukanusha? Click to expand... tupia document ; sio mfa maji?????? yeye kama PM aliandika barua tunaomba feedback (copy) ya mkuu kama alihusika . tunae na kujifanya karudi ccm ccm oyeeeeeeeeee,
K Kwamkono JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 549 Reaction score 77 Sep 10, 2015 #24 R.B said: TumetumiWa jumbe za simu na mwanahalisi forum kuwa mgombea ubunge jimbo la ubong ; atakuwa na press land mark . Mwenye taarifa kuhusu muda ,????? KUHUSU HIYO PRESS. TUJUZE Click to expand... ubong = Ubungo? Kama ni hivyo nadhani utakuwa unawafahamu hao mliotumiwa huo ujumbe, waulize kwanza wao hope watakuwa wana jibu.
R.B said: TumetumiWa jumbe za simu na mwanahalisi forum kuwa mgombea ubunge jimbo la ubong ; atakuwa na press land mark . Mwenye taarifa kuhusu muda ,????? KUHUSU HIYO PRESS. TUJUZE Click to expand... ubong = Ubungo? Kama ni hivyo nadhani utakuwa unawafahamu hao mliotumiwa huo ujumbe, waulize kwanza wao hope watakuwa wana jibu.
R RockSpider JF-Expert Member Joined Feb 16, 2014 Posts 6,859 Reaction score 2,762 Sep 10, 2015 #25 https://www.youtube.com/watch?v=hg5IJvFgWOM msikize kwa makini ... kama huna bundle useme pia... stroke said: Kubenea alituambia Lowasa ni Fisadi na anao Ushahidi, Sasa anatuambia Lowasa si Fisadi na anao ushahidi, huyu mtu si wa kumwamini hata kidogo. Click to expand...
https://www.youtube.com/watch?v=hg5IJvFgWOM msikize kwa makini ... kama huna bundle useme pia... stroke said: Kubenea alituambia Lowasa ni Fisadi na anao Ushahidi, Sasa anatuambia Lowasa si Fisadi na anao ushahidi, huyu mtu si wa kumwamini hata kidogo. Click to expand...
simbamzeewamwakidila JF-Expert Member Joined May 4, 2013 Posts 1,447 Reaction score 379 Sep 10, 2015 #26 R.B said: TumetumiWa jumbe za simu na mwanahalisi forum kuwa mgombea ubunge jimbo la ubong ; atakuwa na press land mark . Mwenye taarifa kuhusu muda ,????? KUHUSU HIYO PRESS. TUJUZE Click to expand... Hivi alimwagiwaga tindikali na nani vile?
R.B said: TumetumiWa jumbe za simu na mwanahalisi forum kuwa mgombea ubunge jimbo la ubong ; atakuwa na press land mark . Mwenye taarifa kuhusu muda ,????? KUHUSU HIYO PRESS. TUJUZE Click to expand... Hivi alimwagiwaga tindikali na nani vile?
R.B JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 6,296 Reaction score 2,578 Sep 10, 2015 Thread starter #27 simbamzeewamwakidila said: Hivi alimwagiwaga tindikali na nani vile? Click to expand... tindikali au mafuta ya Taa ; ALIPANGA MWENYEWE ILI APATE NIGHT ZA KUTIBIWA NJE NA CHAMA CHA WAANDISHI BAADA YA MADENI YA CRD.B BAN.K Tndikali awe vile ;
simbamzeewamwakidila said: Hivi alimwagiwaga tindikali na nani vile? Click to expand... tindikali au mafuta ya Taa ; ALIPANGA MWENYEWE ILI APATE NIGHT ZA KUTIBIWA NJE NA CHAMA CHA WAANDISHI BAADA YA MADENI YA CRD.B BAN.K Tndikali awe vile ;
R.B JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 6,296 Reaction score 2,578 Sep 10, 2015 Thread starter #28 kwamkono said: ubong = ubungo? Kama ni hivyo nadhani utakuwa unawafahamu hao mliotumiwa huo ujumbe, waulize kwanza wao hope watakuwa wana jibu. Click to expand... ubungo
kwamkono said: ubong = ubungo? Kama ni hivyo nadhani utakuwa unawafahamu hao mliotumiwa huo ujumbe, waulize kwanza wao hope watakuwa wana jibu. Click to expand... ubungo