JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,249
- 5,743
minimum qualification Masters degree.......!
Minimum working experience TEN (10) YEARS.
watoto wa wakulima from no where tupate umanager thubutuuuuuuuu
hivi kuna watu bado wanaangalia kiasi cha mshahara!angalia fursa zilizopoTunashukuru kwa taarifa but embu tudokezeeni kidogo kwa wale wanaoijua hii organisation...MISHAHARA YAO IKOJE?
delloite ndio wanasimamia usahili sio ofisi ya rais,kama mtu upo competent utapata tuNafasi 50,kwa kawaida hasa selikalini na taasisi nyingi kila nafasi kiwango cha chini watachukua watu hamsini kugombea nafasi moja. Hivyo wataita watu 2500 katika usaili.
Ombeni tuu pasiwepo na kujuana,vinginevyo watoto wa wakulima msijisumbue.
watoto wa wakulima from no where tupate umanager thubutuuuuuuuu
Negativity ni mbaya sana!!!! Mchawi wa mtu ni mtu mwenyewe!!!!!!!!!!!! Kuwa na imani na ujiamini!!!!