Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,507
- 4,697
Ni kweli tupuBaada ya kumalizana na kina January, Nape, Makamba, Kikwete na kufuatiwa na kujiuzulu kwa M/Mwenyekiti CCM Kinana ambao wangekuwa msaada wake wakati wa uchaguzi, msaada mkuu uliobaki kwake ni kulitumia jeshi la polisi kuwatisha wanaoonekana kuwa wapinzani wake waliobaki.
Kuna hofu kuu 3 zilizo mbele yake kwa sasa ambazo ni, 1. Tetesi ya Tundu Antipas Lissu kugombea, 2. Womanism(Gender) na 3. Nationalism (Origin).
Uhalisia; wanawake wengi huwa hawapendani watakuchekea usoni, wataambatana nawewe kwenye kampeni lkn ukifika wakati wa kuchagua watamchagua Mwanamme. Kwa mila na desturi za Mwafrika ni nadra sana kuongozwa na mwanamke, hili hata vitabu vya dini vimetamka wazi. Hiki kitakuwa kigezo muhimu hasa mpinzani wake akiwa Mwanamme.
Kitu kingine ambacho nakiona ni hofu kwake ni Origin yake (Mzanzibari), ukubali ukatae wakaazi wa Tanzania Bara (Tanganyika) ni wengi kuliko wa Zanzibar, hivyo wakati wa uchaguzi hiki kitakuwa kigezo kingine hasa mpinzani wake akitoka upande wa Bara.
Lissu kwa vyovyote vile atagombea ni threat nyingine. Drama zote zilizofanywa na polisi lengo sio kuwatisha wananchi bali ni kumtisha Lissu asigombee. Samia na CCM wanajua Lissu huwa hakopeshi watawajibu nini wananchi Lissu atakapowauliza kwanini kauza Bandari, kwa nini kauza Loliondo.
Tetesi tunazozipata mtandaoni kuwa kukubalika kwake ni chini ya 32% sio za kubeza ukizingatia hali halisi ya maisha waliyonayo wananchi walio wengi.
Sababu hizi ndizo zinamfanya Samia na CCM wawe na hofu ya uchaguzi.
Quinine, an independent thinker.
Kama kawaida 😀😂 !Natamani nitoe neno Ila bao la mkono ndiyo linanikata maini
Kwa Katiba ipi na Tume ipi ??!! 🤣😀😂Nyie wapinzani nao mmejawa na tamaa na unafiki tu, kwanini msiungane muache tofauti zenu ili kuing'oa CCM? Mna tamaa sana kila mmoja anataka kuwa rais, ni suala dogo sana endapo mpo serious kweli.
Sasa hofu ya nini!?Upinzani kuchukua nchi Bado sana tuache kujifariji
Kwahio msubiri katiba na tume?Kwa Katiba ipi na Tume ipi ??!! 🤣😀😂
👍🙏Kwahio msubiri katiba na tume?
Kuungaa kutasaidia kuinyong'onyeza CCM.. umoja ni nguvu, US kulikuwa na vyama zaidi ya 2000 hivi sasa vipo viwili...
Waache tamaa, wakae wakubaliane nani wanampendekeza agombanie urais...
Ni msikiti gani hapa Tanzania unaongozwa na imamu mwanamke oh sorry una ongozwa na imama.Mwanamke huwa ni Imama, siyo imamu.
Hivi Nyerere, Mkapa, Magufuli walikuwa maimamu au wachungaji wa kanisa lipi? Wao ni wanawake?
yani system ya sisiemu ndo inaamua nani akae paleNa uraisi sio yeye anautaka ila watu wake mambo yao ili yaende wanaona ni lazima aendelee kuwa raisi
Mmeanza nyie kina marope na Mzee wa goli la mkonoBado ana chance
Mfano,
Msajili kulazimisha vyama vyote vya siasa kuweka mgombea urais kutoka Zenj na lazima awe mwanamke...
Hii unaweza kutumika kama njia ya kudumisha umoja wa kitaifa, na kuzingatia jinsia katika demokrasia.
vyama vyote vinaweza vikaelekezwa hivyo kwa amri au vifutwe.
Hilo ni tobo tu nawasanua[emoji23]
Mara zote ndivyo inavyokuwaga !Na uraisi sio yeye anautaka ila watu wake mambo yao ili yaende wanaona ni lazima aendelee kuwa raisi
Ndio hao. 😆😀🤣Mmeanza nyie kina marope na Mzee wa goli la mkono
🤣Bado ana chance
Mfano,
Msajili kulazimisha vyama vyote vya siasa kuweka mgombea urais kutoka Zenj na lazima awe mwanamke...
Hii unaweza kutumika kama njia ya kudumisha umoja wa kitaifa, na kuzingatia jinsia katika demokrasia.
vyama vyote vinaweza vikaelekezwa hivyo kwa amri au vifutwe.
Hilo ni tobo tu nawasanua😂
Wapinzani wepi unawasema kina Zitto kina Lipumba?Nyie wapinzani nao mmejawa na tamaa na unafiki tu, kwanini msiungane muache tofauti zenu ili kuing'oa CCM? Mna tamaa sana kila mmoja anataka kuwa rais, ni suala dogo sana endapo mpo serious kweli.
Mkuu unajua sehem ulipo lakini...Kairudie kusoma tena, usisome Sheria yaa vyama. Soma katiba. Msajili kaanzishwa kwenye katiba kaenda kumalizikia kwenye Sheria. Ikifika kuputisha wagombea wala hahusiki kabisa. Yeye sio time huru. Japo uhuru wake una mashaka lakini sio tume.
Vyama vyote vya upinzani.Wapinzani wepi unawasema kina Zitto kina Lipumba?
Vyama vingi vya upinzani ni Puppets wa CCMVyama vyote vya upinzani.