President Putin addresses the nation

President Putin addresses the nation

Yeyote atakaye igusa Russia ama rafiki wa Russia ama kwa kutumia silaha ndogo ama kubwa ya nuklia atashughulikiwa kinyuklia bila kujari nini kitatokea.
Hivi Syria si walitoa onyo kwamba ndege yoyote ya Marekani itadunguliwa, imekuaje tena[emoji124]
 
Hivi Syria si walitoa onyo kwamba ndege yoyote ya Marekani itadunguliwa, imekuaje tena[emoji124]
Leo kachora msitari!
===
CNN naona wamepigwa gazi...wameshindwa namna ya kuielezea hotuba ya Putin
 
Leo kachora msitari!
Hahaha hakuna kitu Kama hicho mkuu...Leo Russia wenyewe wamekiri kwamba mpaka sasa Marekani ana base karibu 20 ndani ya Syria,na Marekani kashasema haondoki Syria Ng'ooo ndo chanzo Cha Putin kuanza kurudisha mavifaa yake huko Syria ikiwemo kupeleka Su-57.

Pia Urusi kwa sasa hawezi haribu mahusiano yake na EU sababu ndo mteja wake mkubwa wa gas ukizingatia Marekani nae ameshaonyesha dalili za kulitaka soko Hilo,hapo Urusi hawezi fanya makosa
 
Kwani hizo siraha USA hana au EU hawana? Tuanzie hapo....
Swala la kuguswa rafiki zake mbona marekani yupo syria pale mbona myahudi anaingia syria na myahudi ameapa mtu akirusha hata kabomu ka mkono atapigika tu...ile milima ya golani si ni ya syria aanze kuikomboa hiyo kwanza...
Tatzo putin anajitapa sn wakati ule waturuki waliangusha ndege yake nikategemea jibu zito bt kimyaa...
Hayo mamitambo yake pale syria mpaka sasa sjaskia walahu F 22 moja imebwagwa chini au Drone moja ya USA imebwagwa chini...
USA nna uhakika hatoki pale syria na vita itakuja kuwa kubwa sn itatapakaa mpaka uturuki,lebanon na hapo USA ataunda jeshi la waasi waarabu nk kupambana na warusi pale hapo itachukua miaka na uchumi wa urusi hauwez himili gharama hizo at ze end atajiondokea na vita haitaisha.
 
Putin kakusanya siraha zake nzito kazjaza pale syria na USA nadhan anamlia tyming vp USA akilianzsha kwa rafiki ake mwngne putin huko nako atapeleka siraha, akiongezwa mwngne je nako atapeleka? Mwisho uchumi wake utahimili au ndo vitisho vya nuclear ambazo hata india tu anazo......
 
Kwani hizo siraha USA hana au EU hawana? Tuanzie hapo..
Kwa taarifa za kiintelijensia zilizofika mezani Klemlin, Si US, EU ama nchi yeyote yenye silaha hizo na hata wakiamua kutengeneza kama hizo...hawataweza kwa kipindi cha muda mrefu ujao.
 
Aaaahahaaaa....
Eti hawana na hata wakiamua tengeneza kama hizo itawachukua miaka aaahahaaaa...
Mrusi huyu ambaye anatengeneza ndege ya SU 57 kujibu mapigo ya USA F 22 ndege ambayo marekani ameitengeneza sasa ina miaka 20, mchina laijitutumua akajibu mwaka jana kwa J20......
Urusi na Iran ni wazuri sn kwa kusifia siraha zao na umahiri wa silaha zao bt USA mara nyingi utaona kimyaa...urusi wakati anayapeleka yale ma S400 syria alisema atadungua ndege yoyote kwenye anga la syria jiulze ameshafanya hivyo....leo mwenyewe amekiri USA ana base 20 za kijeshi ndani ya syria...hii vita urusi atakimbia sababu uchumi wake hauruhusu kukaa hata miaka 15 pale wakati USA hata miaka 40 anaweza ngoja tuone sasa.
 
Back
Top Bottom