Pundamilia07
JF-Expert Member
- Oct 29, 2007
- 1,439
- 56
Yawezekana ameona kwamba ndio mtu atayefaa katika hii nafasi pamoja na hayo mapungufu aliyoona kwenye sera zake.
....unless a waiver is given.
Mtu wa Kawaida,
Hii kanuni ya maadili haikulenga kuwa exclude wasiofaa kazi. Dhumuni la kanuni hii ni kuepusha migongano ya maslahi, wanaofaa na wasiofaa. Unaongoza wizara ya ulinzi wakati una unafungamana na wafanyabiashara na wazabuni wa ulinzi. Hili ndio linapingwa hapa ambalo Obama kashindwa kulisimamia hata wiki hajakatisha ndani ya ofisi.
Moja. La pili ni kwamba, hata kama huyu mtu awe anafaa kiasi gani ni lazima Rais Obama aonyeshe kwamba ni mtu wa misimamo. Ukisema hakuna mtu atakaeruhusiwa kuwa na conflict of interest halafu ukaweka exceptions unaonyesha huelewi misingi ya kanuni na sheria. Kanuni umeiweka mwenyewe ukaiuza uza kwenye campaign.
Inamaana nchi nzima haina anaefaa kuwa naibu waziri wa ulinzi? Obama asianze vituko saa hizi.
Kuhani,
I feel you man, I really do. Sometimes in politics reality plays havoc with ideals. Nakumbuka in 1966 Julius Nyerere alipendekeza kuondolewa kwa "gratuities" kwa waheshimiwa wabunge na mawaziri. Bunge likaafiki. A few months later Eliufoo died and the only way to help his family and his widow was through gratuities that had been removed by the bunge. Nyerere had to go back to the waheshimiwa and of course walikataa. He had to find other means to help the family.
Hapa Obama kachemsha na bora amuombe huyo jamaa aondoe jina lake haraka sana ili Obama amteue mwingine. Kuwa na controversial issue mapema kiasi hiki kunaweza kabisa kumuharibia malengo yake na hatimaye kushindwa kutimiza sera zake zilizomsaidia kuingia WH
Uteuzi wa huyu lobbyist ulijulikana mapema na habari zikaandikwa juu ya hilo. Kilichotegemewa ni kuwa labda Obama angelimwomba huyu jamaa aondoe jina lake, lakini nadhani jina halikuondolewa kwa kuwa tayari Obama alikwishajua ni nini anahitaji kama Rais wa America. Kwa vile rais yuko tayari kufanya kazi na huyu jamaa uamuzi wake mara nyingi utaheshimiwa kwani Rais wa America anatakiwa apatiwe kila mtendeakazi au kitendeakazi anachohitaji, the rest zitabaki kuwa polikitiks.
Hehehehehe...vipi na yule Treasury Secretary nominee...kakwepa kulipa kodi hadi alipoteuliwa kuwa waziri....saa mtu huyu mwenye tabia ya kukwepa kulipa kodi ndio atakuwa bosile wa chombo cha ukusanyaji kodi...what a joke!!
Nakumbuka 2001 watu walivyomshikia bango Linda Chavez......na 2005 walivyomshikia bango Bernard Kerik hadi akajitoa....lakini huyu Geithner tunaambiwa eti ana "talent" na ndiye anafaa kushika nafasi hiyo kama vile hakuna wengine kati ya watu millioni 300 wanaoweza kufanya hiyo kazi...
Huyu Obama ni fraud tu hana lolote na hana kanuni zozote.....
Ka freeze malipo ya baadhi ya wafanyakazi wa white house lakini yeye hataki kuongoza kwa mfano na ku freeze mshahara wake mwenyewe....total b.s.
Uteuzi wa huyu lobbyist ulijulikana mapema na habari zikaandikwa juu ya hilo. Kilichotegemewa ni kuwa labda Obama angelimwomba huyu jamaa aondoe jina lake, lakini nadhani jina halikuondolewa kwa kuwa tayari Obama alikwishajua ni nini anahitaji kama Rais wa America. Kwa vile rais yuko tayari kufanya kazi na huyu jamaa uamuzi wake mara nyingi utaheshimiwa kwani Rais wa America anatakiwa apatiwe kila mtendeakazi au kitendeakazi anachohitaji, the rest zitabaki kuwa polikitiks.
Hili suala la Geithner Obama alilielezea vizuri. Alisema haamini kuwa kila hajafanya makosa maishani na aliendelea kusema kuwa yeye hatafuti mtu ambaye hajawahi kufanya makosa, anatafuta mtu ambaye ataweza kufanya kazi na kama ambavyo anatarajia. Aliongezea zaidi kwa kusema kuwa, hata yeye (Obama) alikwisha fanya makosa katika maisha yake, je imemzuia kuwa Rais?
Hili ni somo jipya la kujifunza.
Good, cut the cost. Start from the top going down. Thats the way to go.
Hebu acha wewe kulipa kodi uone....
The top being himself, right?
Mkuu,
Huyu Mheshimiwa sio kama alikwepa, la hasha, alilipa wakati ilipogundulika, kutokana na maelezo yake ni kwamba hakuwa amedhamiria kutokulipa au kukwepa. Nadhani hata hivyo kosa lake katika sakata hilo halikuwa kubwa kiasi cha kuwekwa katika list ya wasiolipa kodi. Alikiri na kuomba msamaha kwa mushkeli huo.
Endapo angekuwa amekwepa sidhani hata kama angepata nafasi ya kufikiriwa katika list ndefu ya Obama.