President Kikwete sends a Condolence Message to President Obama following death of Diplomats

Fanya uelimike.. Kitabu kitukufu kikawe icho.. Kitabu kitukufu ni Qur-an peke yake..
Kuwa na akili kijana
 
with all due respect, kuwa na heshima kijana, kila mtu na imani yake! Halafu si kila kitu cha kuingiza udini.
 
sending condolences of hypocrisy won't change Americans attitude towards africans and by the way Chris Steven was unwise when he laughed about Gaddaf's death bad enough he even scoffed at gaddafi's body i don't mind Because those are the wages of sins.
 
Kwa Mwangosi kauchuna lakini kwa Obama ni fasta....kweli prezoo tunaye!!
Hapo ndipo tunapopata ushahidi wa mazingira kuwa ile 'operesheni ua Mwangosi' iliyosimamiwa kikamilifu na RPC, kamanda Kamuhanda, ilikuwa na baraka zote za mkuu wa nchi. Kwa kuwa haiingii akilini, kwa kifo kile kilichogusa hisia za mamilioni ya watu, ndani na nje ya nchi, Rais wetu auchune kimya kizito, halafu hivyo vifo vingine, fasta fasta, anatuma salaam za pole!! Lazima kuna jambo zito under carpet!!
 
Back
Top Bottom