President Kikwete sends a Condolence Message to President Obama following death of Diplomats | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

President Kikwete sends a Condolence Message to President Obama following death of Diplomats

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzalendo JR, Sep 18, 2012.

 1. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Vipi taarifa za Mwangosi hujasikia mkuu? Nauliza tu kwani ugomvi mkubwa wa TAIFA letu?


  H.E. Barack Obama,
  President of the United States of America,
  Washington D.C.,
  U.S.A.

  Your Excellency,

  I am deeply saddened by the news of attack at the Consulate of the United States of America in Benghazi that caused the deaths of Mr.
  Chris Stevens, the Ambassador of the United States of America to Libya and three other American officials.

  On behalf of the Government and People of the United Republic of Tanzania, and on my behalf, I wish to convey our most heartfelt condolences to You, and through you to the Government and the People of the United States of America for the great loss.

  The killing of Ambassador
  Chris Stevens and three other American officials who were working at the Consulate has touched many people around the World. He will be remembered for his tireless efforts and commitment in pursuit of international peace and security especially for his work in Libya.

  My Government condemns the attack against the American Diplomats as well as actions against religious beliefs. Our Government will do whatever it takes to make sure that what happened in Libya and the Middle East does not happen in Tanzania.

  At this moment of agony and distress, we share your pain and pray to the Almighty God to give the families and relatives of the deceased strength and fortitude to bear this moment of grieving. We wish a quick recovery to the ones injured during the attack.

  May the soul of the departed rest in eternal Peace".

  ISSUED BY: MINISTRY OF FOREIGN AFFAIRS AND INTERNATIONAL COOPERATION, DAR ES SALAAM.
  17TH SEPTEMBER, 2012


  Source: wavuti - wavuti
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kikwete needs as well to condemn the killing of the innocent David Mwagosi
   
 3. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Kwa Mwangosi kauchuna lakini kwa Obama ni fasta....kweli prezoo tunaye!!
   
 4. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Anasubiri mwisho wa mwezi teh teh!!! ata laani tuu
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Na condolence kwa Wana-Nyololo na Itete kufuatia kifo cha Daudi Mwangosi je?????????????????????????
   
 6. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Alaani kifo cha mwangosi wakati na yeye ni mtuhumiwa? After all kwani huwa anaishi nje ya nchi muda mrefu so ya ndan humu hayamhusu,kwake yeye ni afadhali mbwa wa ulaya kuliko binadam wa tanzania
   
 7. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  nafkir alivokuwa anaituma neno hili lilimjia ''LIWALO NA LIWE''!
   
 8. d

  dotto JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nyalolo aliuwawa adui
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,821
  Likes Received: 10,117
  Trophy Points: 280
  Maskini Mwangosi jamaa hakuamsha hata kinywa chake uju kweli jamaa ana visasi vya ajabu
   
 10. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Now, this depict disturbing image, ..hatupendi kusema/ kulalamika, au kukosoa kila wakati lakini, Mh. Rais hapo kwa kweli hukufanya vyema, am not saying you are WRONG but you are NOT RIGHT.

  Katika msiba wa Marehemu D.Mwangosi, mkuu hukutuma rambirambi lakini maili maelfu na maelfu, ukatuma ujumbe huu..Inaweza ikatutia shaka uguswaji wako wa matendo yanayotokea hapa nchini.

  Mkuu, Charity begins at home.
   
 11. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Ningeshangaa asingefanya hïvyo, hakuna jipya hapo!
   
 12. s

  sawabho JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Mwisho wa mwezi umefika ?
   
 13. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #13
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Something upstairs must be wrong with our president! How can he dare to send condolences many miles away while he failed to do the same to the neighbour just near by his own household?!
  Here is where I conquer with Mnyika about the weakness within presidential institution. Shame on him, God is watching and will answer may prayers wishes, may mwangosi's soul rest in eternal peace. Ameen!

  Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
   
 14. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #14
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  I wish he could also send to Libyan people for killing of their dear leader! loh................... kweli ukiwa koloni utaendelea kuwa koloni milele!
   
 15. T

  Tinda Senior Member

  #15
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 197
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Sio mchezo usipotoa pole kwa Marekeni utakosa mkopo, lakini KURA za wa Tanzania sio kitu kwake JK
   
 16. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #16
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Vibaraka utawajua tu, huna haja kkliza. Yesu alisema "Unashindwa kumpenda jirani yako unaye muona, utanipendaje mimi usiye niona?". Ameshindwa kuona msiba ulio kuwa nchini mwake ataonaje msiba ulioko bara lingine?. mia
   
 17. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #17
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mkuu figganigga, mkuu maneno yako kutoka katika kitabu KITAKATIFU, yanachoma sana mkuu...am speechless.
   
 18. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #18
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,080
  Trophy Points: 280
  inawezekana rais wetu (kama wanavyosema) ameshauriwa vibaya, alijiweka wazi mno kwa hawa watu!!!
  Hawa wazungu wameshaendelea na kuna facts nyingi wanazojua juu yetu japo mara nyingu wanakuwa hawana huhakika hivyo 'wanatest hypotheses', hivyo sisi tunawajibika kuficha 'udhaifu wetu.
  Alijifanya kwenda sana kila kukicha na wakamuelewa uhalisia wake na sasa keshachelewa maana kujitutumua hata kutuma salaamu za rambi rambi ili wakukumbuke wakati mama Banda ndio tayari yuko huko. Wanasubiri tu kesi ipelekwe huko ili wamzawadie ziwa letu.

  Nilimuona mufti kwenye habari juzi akisema wanafanya kikao ili watoe tamko juu ya US, ngoja tusubirie kama hilo tamko litapingana na rambirambi za rais wetu!
   
 19. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #19
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,700
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  duuu! Vijijini hakuna inflation-malecela
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,700
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Itakuwa hajapata taarifa za msimba wa mwangosi!
  Ina wezekana hile kamati iliyoundwa ndiyo inafanya asiseme chochote mpaka uchunguzi ukamilike ndio atatoa salam za rambirambi!
   
Loading...