President Kenyatta Writes History in London

Kuna mbongo ananidokeza hapa eti Rais Wa Tanzania anashindwa kwenda nje kutokana na kukosa passport maana uhamiaji wanamzungusha kama wanavowazungusha watanzania kuwapa passport nae vile Rais Wa wanyonge anaungana na wanyonge kusubiria mpaka apate atasafiri sana huko nje!....

Uhamiaji kuweni waungwana wahisheni passport

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenyatta kaandika historia sio? Ngoja mzee baba wetu aende huko. Ye ataandika kemia kabisa. Ndo mjue hatupendagi ujinga kwa mabeberu
 
You are drunk and intoxicated. You won't be able to understand the impact of the same at this juncture, just go home buddy!..
Impact! SMH, don't you see they're insulting you?
Sio waafrika wote wana low self esteem kama wewe. Kumekuwa na summit na forum nyingi za aina hiyo hapa Nairobi na viongozi wengi huwa wanahudhuria, kutoka kote duniani.
Nitajie mkutano mmoja Marais wa Ulaya (hata watatu tuu) waliokuja Nairobi kwa mwaliko wa Rais wa Kenya (iwe Mzee Jomo, Moi, Kibaki au Uhuru).
Wewe ndiye akili zako bado zipo utumwani kama unafikiria kila wanapokusanyika ni misaada tu, Afrika ya leo sio ya enzi za mababu, watu wanakusanyika na kujadili biashara na fursa, sio kuganda ndani sehemu moja....
Hivi wewe unaona sawa Marais wa bara zima kukutanishwa na kiongozi wa nchi moja? Kwa nini Kiongozi huyo asiende kwenye nchi hizo ili kuonesha heshima?
Hivi kitendo cha kukusanywa kama kuku marais Wote Africa 🌍 kwenda UK kwaaajili tu ya talk shops and taking photos mkiwa mmelundikana kumzunguka malkia kama dummies huwa mnajisikiaje?

Naonaga kama ufukara wa akili wa hali ya juu
Bro hao hawawezi kukuelewa, bado hawajitambui.

Haiingii akilini marais wa bara zima wanakusanywa kama mbuzi kwenda kuongea na kanchi kamoja. Magu alisema juzi alipokuwa Zanzibar, ngwe yake ya kwanza anaimaliza hajatoka nje ya Afrika na hatatoka, akasema wanataka sisi twende kwao mbona wao hawaji?
 
US-Africa summit
China-Africa summit
Japan-Africa summit
India-Africa summit
Korea-Africa summit
France-Africa summit
Russia-Africa summit
Germany-Africa summit
Turkey-Africa summit
UK-Africa summit
CanadaAfrica biz Conf
NetherlandsAfrica biz Council
SingaporeAfrica biz Forum

Hizi zote na nyingine viongozi wa Africa hukokotwa kama manyumbu na huenda kuwachekesha wazungu kwa hotuba zao mfu zisizo na uhalisia kisha wakirudi kwenye nchi zao hali ni ile ile

Hakuna chochote wanachopata zaidi ya fedheha tu na kujidhalilisha, na hakuna marais wa bara lolote hujusanywa kama yungiyungi hata na kanchi ka kipumbavu kama marais kutoka Africa
Masikini hana maringo. Wacha sisi tupate investments, nyinyi endeleeni kuringa.
 
Impact! SMH, don't you see they're insulting you?

Nitajie mkutano mmoja Marais wa Ulaya (hata watatu tuu) waliokuja Nairobi kwa mwaliko wa Rais wa Kenya (iwe Mzee Jomo, Moi, Kibaki au Uhuru).

Hivi wewe unaona sawa Marais wa bara zima kukutanishwa na kiongozi wa nchi moja? Kwa nini Kiongozi huyo asiende kwenye nchi hizo ili kuonesha heshima?

Bro hao hawawezi kukuelewa, bado hawajitambui.

Haiingii akilini marais wa bara zima wanakusanywa kama mbuzi kwenda kuongea na kanchi kamoja. Magu alisema juzi alipokuwa Zanzibar, ngwe yake ya kwanza anaimaliza hajatoka nje ya Afrika na hatatoka, akasema wanataka sisi twende kwao mbona wao hawaji?
The kind of thinking that even laziness itself would easily wish to deassociate from. It has nothing to do with with a country's size but capability. Think about the economy of the entire East Africa including your gigantic Tanzania in comparison with what you are referring to as 'ka inchi kidogo'. By joining the EPL, convince Mbwana Samatta that he can't play his football in a small country like UK at the expense of your bigger Tanzania!🤣🏃🏃
 
The kind of thinking that even laziness itself would easily wish to deassociate from. It has nothing to do with with a country's size but capability. Think about the economy of the entire East Africa including your giagantic Tanzania in comparison with what you are referring to as 'ka inchi kidogo'. By joining the EPL, convince Mbwana Samatta that he can't play his football in a small country like UK at the expense of your bigger Tanzania!🤣🏃🏃
This is the kind of thinking nurtured by Charles Njonjo and you're the result of it.
 
Chamoto acha ufalastuka, Obama alipokua rais alizuru Kenya kuhudhuria entrepreneurship summit. Sio kuchapa densi za kitamaduni kama alipofika Tz.
images
Alafu na kauli yenu ya kutowafagilia mabeberu mkadeki mabarabara na omo na mkapulizia dawa ya kuua mbu kote jijini. Wabongo kwa unafik hamna zaidi yenu.
 
We jamaa unalipenda sana hili neno, "beberu". Ila bado hujanijibu swali langu.
 
We jamaa unalipenda sana hili neno, "beberu". Ila bado hujanijibu swali langu.
Ndio chorus yenu ya kawaida mabeberu wanatuonea kijicho, hatuwafagilii. Alafu baadaye mnadeki mabarabara na kupuliza dawa ya mbu na kukata viuno wakifika Tz. Delegation yenu ipo UK, wakipiga selfie na mabar maid. Nimejibu swali lako, Obama alitua Kenya kuhudhuria summit baada ya kualikwa na rais U.K. Tena alifika Nairobi na wawekezaji zaidi ya 40.
 
Omba omba wote na familia za mitaani walikusanywa Dar na kufichwa, halafu malofa na makajamba wote wa kipato cha chini wakaambiwa hiyo siku wasiingie majini.
 
Nimejibu swali lako, Obama alitua Kenya kuhudhuria summit baada ya kualikwa na rais U.K. Tena alifika Nairobi na wawekezaji zaidi ya 40.
Unaona sasa, kumbe hujalielewa swali langu. Sijaongelea Rais mmoja (U.K) kumwalika Rais mwenzake (OB). Hiyo ni kawaida sana, naongelea Rais wa nchi moja (Putin au Xi) kualika rundo la marais wa bara la Afrika kwenda kuongea nae.
 
Eti kuongea nae? Huu ushamba wenu ni wa level nyingine. Yaani hata hujui ni nini huwa kinaendelea kwenye summit kama hizo?
 
Back
Top Bottom