President Kenyatta says schools to reopen 'gradually' from September 1

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,111
President Uhuru Kenyatta on Saturday directed the Ministry of Education to facilitate the progressive re-opening of schools from September 1, 2020.

President Kenyatta spoke at State House in Nairobi where he announced that Kenya the COVID-19 infections in the country had hit 2,600 with 83 deaths, hence making it illogical to fully lift the restrictions and return the country to normal.

The Head of State also directed the Cabinet Secretary Prof. George Magoha-led ministry to announce the new school calendar by mid-August.

“I hereby direct that following stakeholder’s consultations in the education sector, the Ministry of Education jointly with the Ministry of Health issues and publicizes guidelines on a gradual and progressive return to normalcy in the education sector by the third term, from September 1, 2020,” he said.

CS Magoha last month appointed a 9-member committee to advise on how to restore normalcy in the Education sector in light of the far-reaching effects of the COVID-19 pandemic.

The committee will be holed at Kenya Institute of Curriculum Development and chaired by The Kenya Institute for Curriculum Development Chairperson Dr. Sarah Ruto.

The members of the committee include among others Indimuli Kahi (Chairman, Kenya Secondary Schools Heads Association), Nicholas Gathemia (Chairman, Kenya Primary Schools Heads Association), Peter Ndoro (CEO, Kenya Private Schools Association) and Nicholas Maiyo (Chairman, Kenya Parents Association).

The CS is also on record expressing optimism that the KCPE and KCSE exams will go on as planned, further asking parents to allow their kids enjoy their holidays.

Citizen Tv
 
Curfew itaanza saa tatu usiku hadi saa kumi alasiri, inaonekana Covid mchana hafanyi kazi
 
Kenyatta anaona aibu kutangaza shughuli ziendelee kama kawaida,ila anazifungulia ki-aina kijanja kijanja!!😂😂😂😀🤣🤣 Sasa we curfew inaanza saa3 usiku hadi saa 10 alfajir !!
 
Hapa maana yake mwaka wa masomo umevunjika

Ni mtihani, ila kama alivyosema hali ilivyo inamuacha kwenye kuchagua kati ya right and right, waliotaka tufungue vyote wako right na wataalam nao wako right, hapa sasa inabidi kutafuta jinsi gani ya kuhakikisha pande zote mbili zinabaki sawa.
Yeye amekaa kwenye kikao cha wataalam wa afya, uchumi, usalama, sheria na tasnia zote, wamedadavua kurasa zote humo, ikawa aidha achague kurubuni maisha ya maelfu ya Wakenya ili kuendeleza uchumi au kuhakikisha baadhi ya tahadhari zinabaki.

Kazi ya urais changamoto kwa kweli, siitaki maana kabla hajaja kuhutubia niliumiza kichwa sana ingekua mimi, ningechukua maamuzi gani, nikaamua kuacha kuumiza akili zangu aje aseme yeye maana tunamlipa mshahara yeye ndio ahangaike.

Hehehe!! Hapa sasa ndio tatizo la katiba lilipo, yeye anabanwa na katiba, maamuzi anayoyafanya lazima azingatie ushauri wa kitaalam, bure angefanya anavyofanya wa Tanzania ambaye maamuzi yote yanatokana anavyoamka, anaweza akasema chochote muda wowote siku yoyote na atakavyo bila kuhojiwa wala kuulizwa au kupingwa na yeyote.
 
Kwani lazima ashauriane na wataalamu,?,kwanini asitoe amri tu mashule yafunguliwe?,kikubwa ahakikisha family yake iko salama,,afungue shughuli ziendelee
 
Hauna sera mpya nimekuona wa hovyo hapo umewaza sana useme nini unhurt japo kakosea shida wanapata wapiga tarumbeta wake kila anachosema mmo tu, corona is here to stay, uzuri mnafungua shughuli muhimu namba ikiwa kubwa hata peak haijafikia ni jambo zuri linaloonesha ubovu wa akili za wakenya maana halikuhitaji hata akili ya chuo kikuu kutambua au hata kujifunza Kwa China hata robo maana china kurejesha shughuli zao wakati ugonjwa haujaisha na hautaisha ilipaswa kuwa shule kubwa kwetu ambao ungonjwa umekuja kwetu baadae sana.
 
Kwani lazima ashauriane na wataalamu,?,kwanini asitoe amri tu mashule yafunguliwe?,kikubwa ahakikisha family yake iko salama,,afungue shughuli ziendelee

Hehehe!! Atie rehani maisha ya wengine wote sio....
 
Maexperts wa Kenya wapo vizuri ,lockdown kuanzia saa 3usiku mpaka 10alfajiri.

Kwa jinsi inavyo onekana kuanzia saa 10 alfajiri mpaka saa 3 usiku Corona Virus wanakuwa wamelala,baada ya saa 3 usiku mpaka 10 alfajiri wanamka na kuanza kuzulula.

Dahh hivi vituko khaaaaaaaa.........
😀😀😀😀😀😀😀😀🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆😆😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom