Yawezekana huyu mkulu hajui kwaninini alichaguliwa kuwa Rais. Huwezi kwenda kutatua matatizo ya wenzako wakati kwako watu wanakula chakula gizani! HUYU NI BABA GANI?????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
Hivi ukichaguliwa kwenye kamati huwezi kukataa..? bwana mkubwa punguza safari shughulikia wapiga kura wako kwanza..
Wajameni hizo nywele vipi tena ????? afya mgogoro au???