President Jakaya Kikwete flies to Addis Ababa..!!!

Kama watanzania wanapenda kulalamika kila siku na kuacha kupinga huyu kiongozi wa nchi za nje basi kaeni nyumbani na ndivyo atawafanyia hivyo hivyo kila siku. Anatumia pesa za nchi, unafikiri analipia za kwake na familia yake zinatoka TRA. Wanashuhurikia swala la Ivory Coast lisilo na umuhimu sana kuliko la Libya. Hii ndio understand capacity ya Kikwete na AU. Poor ideology.
 
Jamani kuweni na huruma na binadamu wenzenu, huyu mcheza kiduku anakimbia matatizo ya bongo kwa vile hajui chanzo chake hivyo hana ufumbuzi, sasa akiendelea kukaa hapa bongo na kale kagonjwa kake kakuanguka anguka ni hatari kwa afya yake. Tumuacheni tu Sindbad wetu atembee mpaka amalize miaka yake mitano, hiyo ni kwa ajili ya afya yake,tumhurumie mkulu wetu bingwa wa kucheza kiduku.
 
8E9U0142.JPG
 
Sasa hii issue ya Ivory coast naona imekuwa dili kwa wakubwa wa nchi zetu, outing every now and then..mhh!!!
 
Yawezekana huyu mkulu hajui kwaninini alichaguliwa kuwa Rais. Huwezi kwenda kutatua matatizo ya wenzako wakati kwako watu wanakula chakula gizani! HUYU NI BABA GANI?????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Yawezekana huyu mkulu hajui kwaninini alichaguliwa kuwa Rais. Huwezi kwenda kutatua matatizo ya wenzako wakati kwako watu wanakula chakula gizani! HUYU NI BABA GANI?????????????????????????????????????????????????????????????????????????????

Baba wa kufikia kwa kuwa mimba (kura) si yake
 
aende tu na asirudi hana anachofanya hapa,ikiwezekana jk ukitoka huko pitiliza moja kwa moja mpaka popote kule unapopajua,hapa usirudi.
 
JK jifunze basi kidogo uwajibikaji kwa Watz toka kwa Meles,huyo huku Ethiopia hana utani kwenye Uongozi
 
Hivi ukichaguliwa kwenye kamati huwezi kukataa..? bwana mkubwa punguza safari shughulikia wapiga kura wako kwanza..

wapiga kura kazi yenu iliisha sasa mnataka nini? acha ujinga wenu, kuna mkataba mlioandikiana kuwa wa kushughulikiana? Ebo!!!!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom