malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,791
- 4,485
Ni vyema kujua au kama ulijua, homa kali uliyopata ilitokana na nini. Kwani kwa virusi vikali, matokeo ya stress hormones/homoni zinazosababisha mwili kututumka/inflammation madhira yake huweza kudumu mpaka wiki 12 au zaidi.Habari wakuu nimiezi mitatu sasa presha yangu haishuki Toka niugue homa kali ..presha tangia hapo haijawahi shuka pamoja na kufanya Kila jitihada presha inasoma 155/105 pr 66 Kila asubuh napoamka napima Nina mashine ya BP ,,
Mwezi wa wakwanzamwishoni nilipima vipimo vya figo,ini,moyo vyote vilikua sawa,wiki ya mwisho namiezi mwingine yanyuma Kila wakati nlikua napima na kabla ya kuugua nilipima presha ilikua 140/90,142/91,136/87,,,baada ya kuumwa na nyuki haijawahi shuka presha...nin nifanye
Sina sukari sjawahi kuwa na sukari,nimepima mwezi wa Tano hbA1c 5.4,presha situmii dawa umri wangu miaka39Unatumia Dawa gan za Presha?
Na Dawa gan za Sukari?.
Bado sijakuelewaNi vyema kujua au kama ulijua, homa kali uliyopata ilitokana na nini. Kwani kwa virusi vikali, matokeo ya stress hormones/homoni zinazosababisha mwili kututumka/inflammation madhira yake huweza kudumu mpaka wiki 12 au zaidi.
Homoni hizi husababisha presha au sukari kuwa juu na kuhitaji udhibiti zaidi ya hapo awali.
Umepima ngwengwe?Habari wakuu nimiezi mitatu sasa presha yangu haishuki Toka niugue homa kali ..presha tangia hapo haijawahi shuka pamoja na kufanya Kila jitihada presha inasoma 155/105 pr 66 Kila asubuh napoamka napima Nina mashine ya BP ,,
Mwezi wa wakwanzamwishoni nilipima vipimo vya figo,ini,moyo vyote vilikua sawa,wiki ya mwisho namiezi mwingine yanyuma Kila wakati nlikua napima na kabla ya kuugua nilipima presha ilikua 140/90,142/91,136/87,,,baada ya kuumwa na nyuki haijawahi shuka presha...nin nifanye
Punguza stress huumwi weweHabari wakuu nimiezi mitatu sasa presha yangu haishuki Toka niugue homa kali ..presha tangia hapo haijawahi shuka pamoja na kufanya Kila jitihada presha inasoma 155/105 pr 66 Kila asubuh napoamka napima Nina mashine ya BP ,,
Mwezi wa wakwanzamwishoni nilipima vipimo vya figo,ini,moyo vyote vilikua sawa,wiki ya mwisho namiezi mwingine yanyuma Kila wakati nlikua napima na kabla ya kuugua nilipima presha ilikua 140/90,142/91,136/87,,,baada ya kuumwa na nyuki haijawahi shuka presha...nin nifanye
mazoezi pressure Ipo juu si moyo itaongeza Kasi zaidi?Fanya fanya mazoezi punguza milo kula mchana na usiku kidogo week tu itarudi normal
Ndio Sina ngwengweUmepima ngwengwe?
Mkuu sjawahi umwa presha,maana nna mashine ya BP mara kwa mara huwa napimaPressure yote hiyo then hautumii dawa,unatafuta kupiga mzinga wewe 🙌🙌
Poa nina thyroids hyperthyroidsm nilipima siku moja kabla ya kuugua homa kali thyroids hormones zilikua sawa natumia carmbimazole Kila sikuNi vyema kujua au kama ulijua, homa kali uliyopata ilitokana na nini. Kwani kwa virusi vikali, matokeo ya stress hormones/homoni zinazosababisha mwili kututumka/inflammation madhira yake huweza kudumu mpaka wiki 12 au zaidi.
Homoni hizi husababisha presha au sukari kuwa juu na kuhitaji udhibiti zaidi ya hapo awali.
Sina mikopo nduguHuna mikipo kweli unaweza ukawa umeweka bond nyumba kwa mkopo wa bank ikawa ndo shida iyo ya presha
Wewe machine ya BP isiwe digital tafuta ile ya kupump na mpimaji anatumia stethoscope, unasikiaMkuu sjawahi umwa presha,maana nna mashine ya BP mara kwa mara huwa napima
Natumia ya digitalWewe machine ya BP isiwe digital tafuta ile ya kupump na mpimaji anatumia stethoscope, unasikia
Achana nayo, husikii? Nenda zahanati yenye hiyo machine kama hiiNatumia ya digital