Nimekwambia kule juu, haina shida kama haijafika 140/90 na hana izo dalili nyingine..na akapima kwa masaa tofauti, pressure 135, 138 kwa mjamzito ni kawaida, endeleeni kuangalia huenda ilipanda mara moja kutokana na hakutulia au alikua hajapumzika vizuri au error ya kipimo, yote yanawezekana. Pia aendee na mazoezi tu.Sasa hapo ndipo bado natatizika inatakiwa isizid ngap kwa hal yake hivi sasa maan toka juz inakuwa 131 134 haijafika 140 je nikiona imefika ngap nijue hal s shwar kwake yey maan hapa kituo kingine cha afya wananiambia yuko sawa s mbaya ...naomba ushaur wako mkuu ili kuepusha madhara kwa presha hio aanze dawa za presha maan bado masiku kadhaa tu ajifungue
Shukran sanaNimekwambia kule juu, haina shida kama haijafika 140/90 na hana izo dalili nyingine..na akapima kwa masaa tofauti, pressure 135, 138 kwa mjamzito ni kawaida, endeleeni kuangalia huenda ilipanda mara moja kutokana na hakutulia au alikua hajapumzika vizuri au error ya kipimo, yote yanawezekana. Pia aendee na mazoezi tu.
yaani huamini maelezo na ushauri wa wataalamu unataka upate ushauri kijiweni?Habar wakuu presha ya kawaida kwa mjamzito miez 8 huwa inacheza ngap kitaalamu
Mke wang amefanya clinic zahanat hapo hivi sasa ana miez 8 ya ujauzito presha yake inacheza 135 kwa 88 baadae imekuwa 131kwa 85 leo
Sasa jana kuna doc tumemkuta pale kamwambia hii ni hatar sana anaweza pata kifafa cha mimba
Naomba kuuliza kuna mtu dunian presha yake inaganda 120 kwa 80 tu na je hal alonayo n ya hatar na yeye hana dalil za presha kama kichwa kuuma...kizunguzungu