Presha kuwa kawaida (Normal) inatakiwa kuwa ngapi kwa binadam?

Shamkware

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
1,740
2,243
Habari wana Jf doctors! Ugonjwa wa presha kwa siku hizi unaendelea kuwa moja ya matatizo makubwa kwa binadamu wote! Navyofahamu mimi kuna preha aina Mbili:- Presha ya Kupanda na Preha ya Kushuka. Sasa Naomba kuuliza kwa binadamu wa kawaida mwenye afya njema anatakiwa kuwa na presha inayosomekaje?

Je kujua kama uko kwenye hatari ni pale presha inapofika ngapi? kama ni ya kupanda na kama ni ya kushuka ninashuka mpaka ngapi?

Na katika presha hizo mbili ipi ni hatari zaidi? Presha inapokuwa juu/ chini nini huduma ya kwanza ya kumpa mgonwa?
 
The generally accepted standard for โ€œnormalโ€ blood pressure is 90/60 to less than120/80. If your blood pressure is consistently lower than 90/60, you have low blood pressure. Blood pressure between 120/80 and 140/90 is still considered normal
 
Back
Top Bottom