Premio vs crown vs mitsubishi RVR

Premio vs crown vs mitsubishi RVR

kinshwi

Member
Joined
Aug 22, 2016
Posts
48
Reaction score
173
Kunae uncle wangu , bachelor baada ya kumaliza chuo na kupata kazi ameanza kujipata , anataka kununua usafiri wa kumsaidia kwenye shughuli zake za kila siku jijini Dar es Salaam .

Ameniomba ushauri kati ya Crown, Premio new model au RVR ni ipi itamfaa zaidi based on comfort, running and maintenance costs.

Sasa mimi baba mdogo wenu sio mzoefu wa magari , nimekuwa nikiendesha Toyota hilux huku mashambani toka enzi za JK .

Sasa nalileta jukwaani kwenu wajuvi wa magari , uncle aanze kutembelea miguu minne.
 
Based on the above ,
Premio itakua ni chaguo lake sahihi sana for the long run ukizingatia bado ni bachelor
 
Attachments

  • IMG-20260120-WA0284(1).jpg
    IMG-20260120-WA0284(1).jpg
    95.2 KB · Views: 13
mkuu samahani by Practicability unamaanisha nini
Hapa kwenye practicability unamaanisha nini uncle ?
“Practicability” ni kama tuseme ipi inafaa kwa matumizi mbalimbali kwa Bongo, kuanzia barabara, leo umebebea mzigo kwenye buti, umesafirisha familia na mizigo, etc etc.

Yaani hii imekaa kimatumizi zaidi, kwamba gari moja ila linafaa matumizi mengi katika mazingira mbalimbali.

Ingawa imekaa kimtazamo binafsi zaidi ila ina make sense.

Wenzetu wenye pesa unakuta ana magari matatu, moja sport car seat mbili akiwa anatoka na mke/girlfriend, lingine kama Noah la family trip kubeba familia na mizigo comfortably, lingine Truck kama hilux kwa kazi.

Sasa sisi umasikini wetu tunataka gari moja lifanye vyote ivo. Ndio issue ya practicability. Ila ni mtazamo binafsi mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom