Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Habari zenu wakuu...hizi gari mbili nazipenda sana na bei zake kidogo zinaendana,,naombeni watalaam mniambie nichukue ipi kati ya allion au premio?
allion ninzuri zaid kwasababu inaenda na wakati wa kidigitalHabari zenu wakuu...hizi gari mbili nazipenda sana na bei zake kidogo zinaendana,,naombeni watalaam mniambie nichukue ipi kati ya allion au premio?
hahahaPremio gari ya wanyambo