Premier league ingesha hivi ingependeza

Ingeishaje hivi sasa wakati details zinaonyesha hata haijaanza?
Namna hii ndo ile tunaitaga ilimradi ume'post,anyway tunashukuru kwa post yako
 
Nadhani unamaanisha kama ingeisha Arsenal akiwa bingwa.....hii ni ngumu kutokea kwa sasa kwa maana ili mpaka arsenal aongoze nilazima timu zote ziwe hazijacheza mechi hata moja.Vinginevyo baadaye sana.
 
Lol ndio alichomaanisha kwamba Arsenal Bingwa ikiisha hivyo bado bingwa itabidi wawe City ila Wigan duh kaonewa hata Zero hana Ugomvi utakuwa Daraja za chini haiwezekani kupanda.
 
Back
Top Bottom