Precison kwanini Kahama si Mbeya

Precison kwanini Kahama si Mbeya

nyabhera

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
663
Reaction score
735
Jamani kwa nia nzuri nauliza ma great thinker. Kwanini Mbeya ambalo ni jiji kubwa na liko mbali na Dar es Salaam jiji kuu la kibiashara Tanzania, lakini Precision air hawana route ya kwenda huko.

Aidha hao Precision Air wana route ya Dar to Kahama ambako ni mji mdogo sana kulinganisha na Mbeya.

Screenshot_20190910-195939.jpeg
 
Precision hivyo huenda kubeba madini dhahabu
 
Back
Top Bottom