Going Concern JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 1,071 Reaction score 1,213 Jun 19, 2012 #1 kibaka alimpiga bubu roba akawa anachukua simu, bubu akawa anapiga kelele kuomba msaada, abhaaa bhana bhaaa bhaaa bhaaa bhaaa, kibaka kuona atastukiwa ikabidi awapoteze raia akaunganisha PRAKAKATUMBA TUMBA TUMBA....
kibaka alimpiga bubu roba akawa anachukua simu, bubu akawa anapiga kelele kuomba msaada, abhaaa bhana bhaaa bhaaa bhaaa bhaaa, kibaka kuona atastukiwa ikabidi awapoteze raia akaunganisha PRAKAKATUMBA TUMBA TUMBA....