Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,508
- 13,974
Rafiki yangu anahitaji kununua gari aina ya Toyota Prado.
Ikiwa unayo iwe manufacture year isiwe zaidi ya 2005,iwe na hali nzuri na isiwe imetembea sana.
Mwenye nayo anijuze ingefaa sana endapo kama itakuwa Arusha.
Picha na maelezo anitumie PM
Asante.