Kuwa serious na biashara za watu ,hebu vaa kiheshima (avatar)Kwanini unauza hiyo gari ....... ??
Ukinipa sababu ya msingi nikaielewa nitakupa 35 milioni.
jikune unapofikia ukilazimisha kujikuna usipofikia mwishowe utakunwa.Hizo ndio Gari Mwanaume anapaswa kuendesha sio vile vibaby walker.