Practise some photoshop animation techniques

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
5,976
Points
0

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
5,976 0
kwa siku za karibuni nimekuwa na interest za graphics na animation. So kwa wale wanapeda kujifunza vitu kwa kujaribu practically wanaweza kujipa chllnge hii kwa kufuata maelekezo ya wataalam.

Napenda kushare nanyi links nilizokutana nazo wakati najifunza zoezi hili

I: Kutengeneza mdudu anayetembeasoma Ant moving around | Photoshop Tutorial

II: kutengeneza Jina linayoyeyuka

soma Photoshop Animated Melt Text adobe photoshop 7 tutorial|adobe photoshop bubble|adobe photoshop cs2 text | tutorialqueen.com

III. Na hii nadhani ni rahisi zaidi uliko zote

Soma : Animating in PhotoShop CS3 : PhotoshopAtoms - Photoshop Tutorials and Resources

Mwenye viunganisho zaidi adondoshe hapa teundee kudaka maujuzi
 
Joined
Feb 15, 2009
Messages
99
Points
0
Joined Feb 15, 2009
99 0
Mkuu, stay blessed for this tips, Eid Mubarak.

kwa siku za karibuni nimekuwa na interest za graphics na animation. So kwa wale wanapeda kujifunza vitu kwa kujaribu practically wanaweza kujipa chllnge hii kwa kufuata maelekezo ya wataalam.

Napenda kushare nanyi links nilizokutana nazo wakati najifunza zoezi hili

I: Kutengeneza mdudu anayetembeasoma Ant moving around | Photoshop Tutorial

II: kutengeneza Jina linayoyeyuka

soma Photoshop Animated Melt Text adobe photoshop 7 tutorial|adobe photoshop bubble|adobe photoshop cs2 text | tutorialqueen.com

III. Na hii nadhani ni rahisi zaidi uliko zote

Soma : Animating in PhotoShop CS3 : PhotoshopAtoms - Photoshop Tutorials and Resources

Mwenye viunganisho zaidi adondoshe hapa teundee kudaka maujuzi
 
Forum statistics

Threads 1,352,881
Members 518,197
Posts 33,068,307
Top