Usiache pen... but as far as it's minutes, I bet itakuwa online.Kwa iyoo hata pen haitakiwi???
Ila wasiwasi wangu ni juu ya mda maana eti wanadai ni dakika 15 kuna kitakachofanyika ka dakika izo kweli wadau???
Umepigiwa cmu kuhusu hiyo ampitude test or?
Naomba mwenye uzoefu wa APTITUDE TEST za ppf anisaidie.
Sitegemei, kwana anahusiana vipi na kazi?Jiangalie...unaeza ulizwa jina la mkuu wa mkoa mtwara...!
Sitegemei, kwana anahusiana vipi na kazi?