Sometime tujifunze kuwa Risk taker, mwache aende akafanye usaili, kumbuka safari yake itajumuisha vitu vingi pia si usaili tu, ndani ya basi, ndege au chombo hicho atakachotumia atakutana na watu na may be wakaongea mengi huwezi jua, akifika Dar pia atakutana na watu huwezi jua atazungumza nao nini (anaweza pata mtandao na watu hata 2 na badae ukamtoa), uzoefu wa usaili pia, lakini pia huenda hiyo kazi ni yake. Kama uwezo upo mwache aende akafanye usaili, kukaa unawaza (-) kwa kila kitu ni shida.