Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,545 Reaction score 15,781 Oct 14, 2014 #1 Huu ndio umuhimu wa self-defence.
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Oct 14, 2014 #2 Kachezea kifuti, kifuti tena, kisha kasukumwa chali, kweli mweupe
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,676 Oct 14, 2014 #3 Aisee huyu nikita au?
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,463 Reaction score 17,960 Oct 14, 2014 #4 huyu jamaa mwishowe ataibiwa yeye sasa badala ya yeye kuiba! wanawake wote wangelikuwa hivi, naamini INDIA kusingelikuwa na matukio ya ajabu ajabu ya ubakaji na ukabaji kwa wanawake..
huyu jamaa mwishowe ataibiwa yeye sasa badala ya yeye kuiba! wanawake wote wangelikuwa hivi, naamini INDIA kusingelikuwa na matukio ya ajabu ajabu ya ubakaji na ukabaji kwa wanawake..
Wapoti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2013 Posts 2,824 Reaction score 1,100 Oct 14, 2014 #5 duh!! mwanamke jasiri sana huyu hicho kipigo jamaa atakumbuka kuiba tena December
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Oct 14, 2014 #6 Mwanaume dhaifu sana halafu anajitia kuiba
Tyta JF-Expert Member Joined May 21, 2011 Posts 12,767 Reaction score 10,539 Oct 14, 2014 #7 crackhead bastard got what he deserved......damn fool....
Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,730 Oct 14, 2014 #8 Duh! Ameingia kwa kujiamini sana, alipaswa kuwa makini kabla hajamfuata...