Power of habit

Power of habit

dickson gosbert

New Member
Joined
May 25, 2015
Posts
3
Reaction score
11
Kwanza kabisa kuna tabia nzuri na mbaya

Tabia nzuri nzuri matokeo yake ni sasa na tabia mbaya matokeo yake ni baadae kwa mfano kama unavuta sigara au ni mlevi kupindukia matokeo yake utayapa baadae kama figo au ini kufeli

Ushauri wangu kwa vijana tufanye tabia nzuri Na nidhamu kwenye kutunza na kutumia kipato vivuri

IMG_0879.jpg
 
Back
Top Bottom