ndo nilihitaji kujua aina gani ni nzuri? mfano kwa betri zingine hizi kuna discover, executive plus, nk. je kwa iphone ni betri ya aina ipi/kampuni ipi ni nzuri?
ndo nilihitaji kujua aina gani ni nzuri? mfano kwa betri zingine hizi kuna discover, executive plus, nk. je kwa iphone ni betri ya aina ipi/kampuni ipi ni nzuri?
Kuna fake nyingi sana za hii kampuni nimeshakutana nazo kama 3 zimeandikwa 14000mAh wakati ukienda kwenye website ya xiaomi mi.com hawajawahi kutengeneza power bank ya kiwango hicho na pia kuna zingine za 10000 pia hazionekani kwenye website yao so be careful