Power bank nzuri

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,521
Reaction score
8,286
Nahitaji kununua power bank, je ni ipi nzuri, portable zaidi na imara?

Pia nataka kununua betri la iphone 5s je ni aina gani lenye ubora?

Msaada.
 
sidhani kama unahitaji kujua battery gani linafaa kwa iphone sababu battery zake ni za ndani kwa ndani.

kuhusu power bank nunua za xiaomi zimeandikwa mi

 
Kwa uzoefu wangu power Bank nzuri ni zile ambazo ni branded.
Kwa maoendekezo ni Xiaomi Mi Power Bank ambazo zina capacity kuanzia 5400mAh, 10400mAh hadi 16000mAh.
Kwa upande wa portability Xiaomi wametoa ultra slim power bank yenye milimita 9.9 ambayo itakua rahisi kubeba but ina uwezo wa 5000mAh tu.

Brands nyingine ni EC technologies, Anker na wengineo.

Onyo: Usidanganywe na ukubwa wa mAh au Solar charging capabilities maana hizi ni marketing hypes tu na hazina uhalisia
 
Thanks alot Chief.
Vipi kuhusu kujua kama ni original au fake, na bei vipi kwa k/koo na pengine ni duka/maduka gani yanapatikana original kariakoo?
 
Nenda Abla complex mikocheni, kuna kitu ya Puku ... 8000mAh...very good product.
 
nahitaji kununua power bank, je ni ipi nzuri, portable zaidi na imara? pia nataka kununua betri la iphone 5s je ni aina gani lenye ubora? msaada

Hivi ni sahihi kutamka "kununua betri la,au aina gani lenye ubora?naomba wajuzi wa lugha saidie.
 
sidhani kama unahitaji kujua battery gani linafaa kwa iphone sababu battery zake ni za ndani kwa ndani.

kuhusu power bank nunua za xiaomi zimeandikwa mi


mkuu hata hizo za ndani kwa ndani zipo huuzwa ila sijajua ni brand ipo iko imara
 
Ukipata powerbank ya Pisen genuine (sio fake) ni bonge la mkataba.
 
tatizo hii haitunzi charge inavyotakikana

najua haitunzi ninachomaanisha hio utakayoinunua inatakiwa iwe battery original ya apple hivyo huna haja ya kuhangaika kutafuta brand.
 
najua haitunzi ninachomaanisha hio utakayoinunua inatakiwa iwe battery original ya apple hivyo huna haja ya kuhangaika kutafuta brand.

inamaana apple kumbe hutengeneza betri kwa ajiri ya repair?!
 

mkuu ina maana ikiwa na mAh kubwa ndo inakuwa uwezo pamoja na uimara mkubwa?
 
inamaana apple kumbe hutengeneza betri kwa ajiri ya repair?!

battery zipo hata kama hatengenezi zinapatikana sababu apple hana control na internal parts. foxconn ndio muhusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…