Povu kwa watangazaji wa redio

Rashford Lingard

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2018
Posts
938
Reaction score
1,152
Kamekua ka tabia, kila matangazaji wa kipindi ikifika mda wa wawasikilizaji kuchangia mada utasikia "Nifollow kwenye ukurusa wangu (yaani mtangazaji) wa instagram/facebook ili uweze kuchangia mada, utakuta nimepost tupia comment yako hapo nitaisoma? Swali kwa tusio na hizo instagram/facebook haturuhusiwi kuchangia? Kwanini zisiwepo namba za simu za kawaida tuwe tunachangia wote? Kwanini wasiwe wanaposti kwenye pages za vituo vyao?

NYONGEZA
wananikera pale mtangazaji unakita kasoma habari flani alafu anakuambia kwa habari kama hizi na nyingine kibao nifollow insta/fb/tweeter.... Ukienda kule hakuna habari wala nini zaidi ya picha binafsi za uuzaji nyango tu...
 
Ngoja niongeze povu hapo linaendana na mada laniki...

Mm wananikera pale mtangazaji unakuta kasoma habari fulani alafu anakuambia kwa habari kama hizi na nyingine kibao nifollow insta/fb/tweeter.... Ukienda kule hakuna habari wala nini zaidi ya picha binafsi za uuzaji nyango tu...
 
naomba kuiongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…