kwann natoa huu mfano
"poverty isn't what you do to yourself, it is what the powerful do to you"Sasa hivi tuna mambo mengi na ndiyo yanapelekea stress ,yaani pesa zimefanya manipulation kila kosa; mapenzi pesa ,kazi mpaka utoe pesa ,heshima pesa ,ubinadamu umeisha kabisa
ulishawahi kujiuliza kuna jamii hazina shida na pesa na znaishi vizuri kabisa, in terms of modern utaasema ni maskini but wameweza kuishi bila pesa, hivo basi uzi umelenga kwenye kutengeneza thamani zaidi ya pesaMambo mengi sana hayaja fundishwa kuhusu PESA, Paper money and coins ni "Dense or Unclear expression" tu ya Fedha harisi.....
Na kuna namna nyingi Emotionally watu wanafanya daily ku-lisha ile illusion of Paper money bila kujua, kitu ambacho kinahakikisha uwepo wake kwenye maisha yako
Wealth ni tool tu mtu unayoweza kutumia kunyanyua miasha ya watu hapa duniani
hapana maisha yana thamani sana ila thamani ya maisha tunayopambania ndo batili, ni sahihi kusema serikali haina shiida na pesa bali shidia yake kubwa ni watu wafanye kazi ambapo ndo thamani halisi ya maisha ipo apoUnataka kusema maisha ni ubatili???
Sijakuelewa vizuri......ulishawahi kujiuliza kuna jamii hazina shida na pesa na znaishi vizuri kabisa, in terms of modern utaasema ni maskini but wameweza kuishi bila pesa, hivo basi uzi umelenga kwenye kutengeneza thamani zaidi ya pesa
topic sio usiwe na pesa nmekazia tu kwamba kuna jamii znaishi bila pesa na znaishi vizuri, point ni thamani ya maisha na kuitumikia, ukisoma apo nmesema unaweza kutengeneza thamani kupitia kazi na ukairithisha hata kwa watoto ndo point ya uziSijakuelewa vizuri......
Lakini jamii kama maasai au hadzabe na wengine naona still wana kosa kitu furani kwenye maisha yao.
Money is very good thing kwakweli I love it, Fedha inaleta mambo yote mazuri utakayo taka kwenye maisha yako
Ok fine kama mtu hujui chochote kuhusu hizi pesa iwe sarafu au karatasi unawezaje kusafiri kwa urahisi na raha mustarehe au kula vyakula vizuri vyenye afya or kuishi mahala pazuri
POINT ni kuitambua kwa undani Asili ya Pesa na umuhimu wake kwenye maisha yako lakini si kui'kanusha or kui'kana completely
Watu wagombanie nini zaidi ya kazi? Inawezekana una hoja ila kuiwasilisha ndo huwezi. Siku nyingine ukiwa na hoja mcheki komredi Tlaatlaah au Lucas Mwashambwa wakusaidie kuiwasilisha. Wao ni waandishi wazuri.Ni aibu kuona mtu anagombania ajira
nmelezea vizuri apo, tengeneza thamani inaodumu nmetoa mfano wa mtu alietengeneza biashara ya chakula ile ni thamani inaodumuWatu wagombanie nini zaidi ya kazi? Inawezekana una hoja ila kuiwasilisha ndo huwezi. Siku nyingine ukiwa na hoja mcheki komredi Tlaatlaah au Lucas Mwashambwa wakusaidie kuiwasilisha. Wao ni waandishi wazuri.
mambo hayako ivo, utajiri wa hao 1% sio pesa bali ni thamani, however bila matabaka maisha hayawezi kwendaBinadamu ni kati ya viumbe wa hovyo kabisa kuwahi kutokea hapa duniani.
Hapa duniani kuna utajiri wa kutosha kabisa kutokomeza umasikini na kuwafanya binadamu wote waishi "decent lives" - yaani wapate milo mitatu mizuri, nyumba nzuri, huduma za afya, elimu nk.
Tatizo ni kwamba 99% ya utajiri wote duniani upo mikononi mwa 1% tu ya watu! Na hao 1% hamna chochote cha maana wanachoufanyia zaidi ya kuuchezea tu. Na dunia inaona ni sawa. 🙁