Wickama
Platinum Member
- Mar 8, 2009
- 1,568
- 1,350
Wakuu, Migomba ni "heavy feeders". Kama kwa sasa unavuna mikungu ya pichani kulia na unatamani kuvuna hiyo mikubwa ya kushoto hakikisha kwanza hulinyimi shamba lako maji kisha shambani kwako virutubisho vyenye Potassium (K) havipungui. Potassium ipo nyingi kwenye samadi na mbolea za NPK. Kule Agrovet shops chagua mbolea zenye ratio kubwa kidogo ya madini ya Potassium