zee la weza
Senior Member
- Feb 7, 2012
- 190
- 29
Wadau naomba kujuzwa kama majina ya diploma in nursing, clinical officer selikalini kama yalishatoka, plz naomba nijuzwe,npo serious, nina mdogo wangu yupo kitaa ila aliomba.
Napita tu
mbona yalishatoka na wenzenu wameshaanza kusoma...mwezi sasa...
Hazitatoka ndug