Pole sana aise!Nimefanya application ya Masters UDSM online. Nimefuata taratibu zote na nimefanikiwa kutuma maombi na kupata serial number (S/N). Lakini mpaka sasa kwenye application form inaonyesha kwenye REFEREE STATUS- Recommendation not submitted. Nimejaza emails za referees kwenye application kama walivyotaka. Referees hawajatumiwa emails ili wa recommend. Lakini kwenye form wanasema REMIND/INFORM THE REFEREE. Nimejaribu kuomba msaada kupitia HELP DESK ya chuo sikujibiwa. Nimetuma emails mara mbili kwenye email ya POSTGRADUATE STUDIES (admissiondpgs@udsm.ac.tz) lakini najibiwa delivery to recipient failed permenently. Kwa kuwa S/N yangu ina 3 FIGURES, bila shaka wengi tumeomba. Nomba kujua kama kuna mwenye tatizo kama langu na nini la kufanya. Pia nilishapiga simu iliopo kwenye CONTACT YA POSTGRADUATE lakini hakuna mabadiliko kwenye form yangu.
Msaada wenu wakuu.
Yaani mkuu we acha tu. Is a Center for intellectuals!!Wakiambiwa UDSM hawapo makini wanakataa haya sasa ngoja tuwasubiri tuone. Kama vp mkuu fika pale chuoni kabisa.
Yes! Na forms for manually application zipo, we nenda tu kwenye website ya UDSM - postgraduates.Hivi kuna uwezekano wa kuapply kawaida kupitia kujaza form au.lazima iwe online?
Wakiambiwa UDSM hawapo makini wanakataa haya sasa ngoja tuwasubiri tuone. Kama vp mkuu fika pale chuoni kabisa.
Pole sana aise!
Mimi mwenyewe nilikuwa naomba online but ni majanga matupu!!!!!
Tatizo langu mimi ni kuwa Registration Number yangu ambayo iko ktk format hii, XXXXX/T.2001 haitambuliki na ARIS.
Nimeandika email kwa directorate of postgraduate + college principals ili kuomba msaada but mpaka sasa ni wiki limepita sijajibiwa. Kama haitoshi nimerudia tena kuandika email to the same but hakuna msaada. Nimepiga simu, but hazipokelewi. Nimetuma email through helpdesk, but hakuna kujibiwa kabisa. Sasa nafikiria kuapply manually which is costful as it will involve travelling but no way!
NB: iyo email nadhani ulikosea, ni admission.dpgs@udsm.ac.tz (kuna nukta katikati ya admission na dpgs).
Ww jaza tu then send hakikisha umekamilisha sehemu zote hapo ktk referee recommendation jaza hao referee tu, then submitt, ikifika ama laa ww ushamaliza.
Mteja ni mfalme hapa bongo mteja ni mbwaDa nimewahi fanya applications za nje hadi raha, wanakutumia e-mails,wanakupigia simu na kukutumia barua haraka sana'
Huko nje wanajua wanachokifanya ni nini!Da nimewahi fanya applications za nje hadi raha, wanakutumia e-mails,wanakupigia simu na kukutumia barua haraka sana'
Ww jaza tu then send hakikisha umekamilisha sehemu zote hapo ktk referee recommendation jaza hao referee tu, then submitt, ikifika ama laa ww ushamaliza.
mkuu amna haja ya kuwapongeza wanatoa degree ya computer science kwanini hilo swala la website yao iwasumbue? vitu vingine ni ujinga na upumbavu wa watu. Nenda kwenye ofisi zao utakuta wanachat na kupiga storiAsante mkuu KIBUYU,
Ila watanzania wenzangu tujifunze kutiana moyo ili twende mbele. Binafsi nawapongeza UDSM kwa kujaribu kwenda online kwa Postgraduate unlike other Universities/Institutes/Colleges. Ni jambo zuri kwani litawarahisishia hata wenzetu waliopo nje ya nchi kufanya application yao kwa kupunguza gharama za kupost hardcopies. Lakini pia hii inapunguza matumizi ya karatasi yasiyokuwa ya lazima hivyo indirectly kutunza mazingira.
Kwa vile ni mara yao ya kwanza, nadhani tuwapongeze na wenye ujuzi tuwasaidie wapi warekebishe ili system iwe imara badala ya kuwapondea na kuwakatisha tamaa. Hebu turudi katika msingi wa Tanzania yetu, nchi yetu, vyuo vyetu, raslimali zetu... nadhani kwa perspective hii tutatiana moyo tusonge mbele na si kurudi nyuma.
Kwangu mimi hili ni jambo jema sana na navishauri vyuo vingine viige ili tufike huko waliko nchi za wenzetu. Mwanzo huwa ni mgumu ila tusaidiane ili tupite salama.
KUDOS UDSM
Angalia email yako washatoa waliochaguliwa kwa ajili ya postgraduateNimefanya application ya Masters UDSM online. Nimefuata taratibu zote na nimefanikiwa kutuma maombi na kupata serial number (S/N). Lakini mpaka sasa kwenye application form inaonyesha kwenye REFEREE STATUS- Recommendation not submitted. Nimejaza emails za referees kwenye application kama walivyotaka. Referees hawajatumiwa emails ili wa recommend. Lakini kwenye form wanasema REMIND/INFORM THE REFEREE. Nimejaribu kuomba msaada kupitia HELP DESK ya chuo sikujibiwa. Nimetuma emails mara mbili kwenye email ya POSTGRADUATE STUDIES (admissiondpgs@udsm.ac.tz) lakini najibiwa delivery to recipient failed permenently. Kwa kuwa S/N yangu ina 3 FIGURES, bila shaka wengi tumeomba. Nomba kujua kama kuna mwenye tatizo kama langu na nini la kufanya. Pia nilishapiga simu iliopo kwenye CONTACT YA POSTGRADUATE lakini hakuna mabadiliko kwenye form yangu.
Msaada wenu wakuu.