Kuna umeme wa majumbani na umeme wa mkubwa (kidatu). Hiyo kozi ina deal na umeme mkubwa... Kutoka kuzalisha mpaka kuusafirisha kutoka bwawani.
Post graduate diploma ni kama link ya kusoma masters kwa mtu either hakufaulu vizuri degree ya ya kwanza ya umeme au kwa mtu ambaye hakusoma kabisa umeme lakini anataka kusona masters ya umeme!!