Ahsante sana.Kuna app nilikuwa nahitaji kuinunua play store kwa matumizi yangu binafsi wakati nikijaribu kulink card yangu ya kufanya online payment ikawa inanilazimu niweke postcode ili kukamilisha usajili maana kwa paypal hawapokei, ikabidi nisearch online kwa bahati nzuri TCRA tayari kwenye website yao wameshaweka orodha ya nchi nzima kwanzia mikoa mpaka wilaya zake. nikaona na mimi niwafikishie wanajamvi wenzangu hapa maana yawezekana kuna mwingine anatafuta postcode lakini hajafanikiwa kuzipata. Pakua list kwenye attachment
Kuna app nilikuwa nahitaji kuinunua play store kwa matumizi yangu binafsi wakati nikijaribu kulink card yangu ya kufanya online payment ikawa inanilazimu niweke postcode ili kukamilisha usajili maana kwa paypal hawapokei, ikabidi nisearch online kwa bahati nzuri TCRA tayari kwenye website yao wameshaweka orodha ya nchi nzima kwanzia mikoa mpaka wilaya zake. nikaona na mimi niwafikishie wanajamvi wenzangu hapa maana yawezekana kuna mwingine anatafuta postcode lakini hajafanikiwa kuzipata. Pakua list kwenye attachment
[pdf]https://www.jamiiforums.com/attachments/postcode-tz-pdf.417460/[/pdf]
Mbali na matumizi hayo mkuu naomba kufahamu matumizi mengine ya hozi pstcode mkuu hapa kibongobongo!! samahaniKuna app nilikuwa nahitaji kuinunua play store kwa matumizi yangu binafsi wakati nikijaribu kulink card yangu ya kufanya online payment ikawa inanilazimu niweke postcode ili kukamilisha usajili maana kwa paypal hawapokei, ikabidi nisearch online kwa bahati nzuri TCRA tayari kwenye website yao wameshaweka orodha ya nchi nzima kwanzia mikoa mpaka wilaya zake. nikaona na mimi niwafikishie wanajamvi wenzangu hapa maana yawezekana kuna mwingine anatafuta postcode lakini hajafanikiwa kuzipata. Pakua list kwenye attachment
[pdf]https://www.jamiiforums.com/attachments/postcode-tz-pdf.417460/[/pdf]
Unaweza pia ipata post code kwa kupiga *152*00# chagua no 3 then TCRA postcode.. then endelealeo imekua msaada sana jf ni nomaa
Unaweza pia ipata post code kwa kupiga *152*00# chagua no 3 then TCRA postcode.. then endelea
tumia WpsMbona haifunguki?