Postal/zip code ya Tanzania ni ipi?

Postcode List

Jamani... TCRA ilishajibu hili swali kumbe. As usual, dissemination of information doesn't get to the general public somehow?
 
Haya sirmudy zip code ya tz ni hii hapa, 35091. Hii kirefu chake ni (Zone Improvement Program) inarihisha katika kutambua maeneo hususani kwa watu wa posta. hata kama mfumo hou hautumiki hapa tz lakini namba yetu ndio hiyo kaka
Mkuu hv hii unauwakika nayo kweli..??
 
Ipi kweli sasa mkuu
00255 - Hii ni country code

Kwanza je unalewa nini maana ya zipcode/postcode????
 

Attachments

15530... hii ndy ZIP CODE/POSTAL CODE ya Tanzania
Naona unataka kuwalisha watu matango pori! Hiyo ni zip code ya Tanzania toka lini?

Kuna country code ambayo ni 255 na kila mji una zip code yake pamoja na ya kata zake!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…