Postal bank

MATASO

Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
10
Reaction score
1
Habari wajameni! Naomba kuuliza kuhusu post za kazi walizo tangaza postal bank kama 3 weeks hivi. Kuna yeyote aliyeitwa 4 interview? au wameshaweka ndugu zao. Umefika wakati na haya mashirika ya serikali watumishi watafutwe na tume ya ajira.
 
Hawa majamaa ni majanga tupu,siku moja tutaona nchi ya ahadi kwa hawa wakubwa wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…