Kinachoturudisha nyuma wabongo ama waafrika nikukosa uaminif. Imetukosti sana hili jambo.
Mkuu umeongea, uaminifu bado sana katika bara letu, Ongeza na customer care mbovu vurugu tupu.
Wananusa wakiona kitu cha thamani wanapotea makusudi
Miafrika ndivyo tulivyo.
Wafanyakazi wengi wa posta Arusha wameanzza kufanya kazi hapo tangu wakiwa wasichana na wengine waulana hadi wanazeeka na hiyo hii imesababisha wafanye kazi kimazoea. Hii safu inatakiwa iangaliwe upya ili kurudisha imani kwa wateja.
Vitu vingi vinavyoibiwa ni vilei vya watu binafsi ila wanaogopa vitu vinavyotumwa kupitia taasisi