Dah ni nuxsi mkuu ,hebu ingia ajira portal , ajira za Engineering ni chache kinoma nchi hii , Mimi mwenyewe ni Engineer kama wewe Ila sijafanikiwa kupata mchongo badoWakuu kuna tangazo sehem au unaconnection za kaz engineering jobs popote tanzania post kwenye huu uzii only engineering na technician
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Mkuu umeongea facts, linapokuja swala la ajira hususani kwa wahandisi linakuwa kizungumkuti , binafsi mimi mpaka leo mwaka wa pili tena sijabahatika kupata ajira yoyote hata kujishikiza licha ya kuwa degree ya uhandisi ujenzi (civil engineering).Dah ni nuxsi mkuu ,hebu ingia ajira portal , ajira za Engineering ni chache kinoma nchi hii , Mimi mwenyewe ni Engineer kama wewe Ila sijafanikiwa kupata mchongo bado
Anzia Kwanza ajira portal naona wameanza na za tutors WA vyuo vya serikali Kwa watu wenye fani za Engineering .
Pia ukitaka kupata kuona chache zinazotangazwa ingia Google halafu type "New Engineering jobs in Tanzania" hapa kila website local ya matangazo ya ajira ita appear then utaingia koja baada ya nyingine .
Tuwe tunapeana updates mbalimbali wahandisi , naona wengi wapo kimya sana humu , tunazidiwa na walimu .
Mi Nina shahada ya uhandisi WA umeme na electronics we unafani gani ?
Tupeane michongo wahandisi aisee
Mkuu umeongea facts, linapokuja swala la ajira hususani kwa wahandisi linakuwa kizungumkuti , binafsi mimi mpaka leo mwaka wa pili tena sijabahatika kupata ajira yoyote hata kujishikiza licha ya kuwa degree ya uhandisi ujenzi (civil engineering).
Kama kutakuwa kuna mchongo wa uhakika mahala popote tusisite kupeana feedback.
Hata washikaji zako hawana connection au ulikuwa Huna ushirikiano nao wakati upo Chuo kwa sasa wanakutenga kwenye michongoMkuu umeongea facts, linapokuja swala la ajira hususani kwa wahandisi linakuwa kizungumkuti , binafsi mimi mpaka leo mwaka wa pili tena sijabahatika kupata ajira yoyote hata kujishikiza licha ya kuwa degree ya uhandisi ujenzi (civil engineering).
Kama kutakuwa kuna mchongo wa uhakika mahala popote tusisite kupeana feedback.
Poa mkuuMkuu umeongea facts, linapokuja swala la ajira hususani kwa wahandisi linakuwa kizungumkuti , binafsi mimi mpaka leo mwaka wa pili tena sijabahatika kupata ajira yoyote hata kujishikiza licha ya kuwa degree ya uhandisi ujenzi (civil engineering).
Kama kutakuwa kuna mchongo wa uhakika mahala popote tusisite kupeana feedback.
Wamezitangazia wapi ? Ajira portal au ?Trc wametoa kaziii za mdà ..... nashida kutuma pdf mwenye kujua jinsi kutuma aniambie nitumie
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Wametangaz za mda kwenye tovuti yao mm ninazo pdf ilaa ss kupost apa nashidw maan mgenii kwenye jamiii forumOya mbona kimya ? , Au unazingua
Kada zingine hawataki kama hr mkuuElectrical engineering ambae hana kazii kuna nafsii mmoja ukicomment wek namba bachelor lkn wakuu chapu
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Wanatak electrical kaka kama unamtu mwenye electrical engineering anicheki 0625969094Kada zingine hawataki kama hr mkuu
Ok mkuuWanatak electrical kaka kama unamtu mwenye electrical engineering anicheki 0625969094
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Mkuu wa bachelor ya electrical naomba namba yak kbal ya saa saba ni kazii kuna nafsii mmoja tuTupe connection Hilo mi Nina shahada ya Electrical and Electronics na nasikia Australia currently kuna serious shortage ya skilled labour sema hii michongo ni connection Tu , ni connect na huyo jamaa basi au kama vipi drop contact yake hapa tumcheki Kwa WhatsApp au kama vipi drop contact yako hapa tukucheki whatsapp jomba