johnshedo Member Joined Aug 22, 2013 Posts 98 Reaction score 6 Dec 20, 2014 #1 Jaman mwenye uwelewa ni tovut gani yenye majina hayo atupe riport
Amon Mtekateka JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 1,225 Reaction score 333 Dec 20, 2014 #2 zifate ofisi ya halmashauri
kakakuonana JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 338 Reaction score 61 Dec 21, 2014 #3 Duh mi pia nayatafuta sana
Y Yussuph idrissa Member Joined Oct 5, 2011 Posts 63 Reaction score 16 Dec 21, 2014 #4 upangaji wa wanafunzi wanaojiunga na kidato cha kwanza hufanyika katika Secretariat za mikoa.kwa hiyo ni vigumu kuweka katika website.kinachofanyika ni kwenda kwenye halmashauri husika.
upangaji wa wanafunzi wanaojiunga na kidato cha kwanza hufanyika katika Secretariat za mikoa.kwa hiyo ni vigumu kuweka katika website.kinachofanyika ni kwenda kwenye halmashauri husika.
Afande Nyati JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 2,385 Reaction score 1,414 Dec 21, 2014 #5 Hv tayari wameshayatoa kwani?
Afande Nyati JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 2,385 Reaction score 1,414 Dec 22, 2014 #6 http://www.kinondonimc.go.tz/index.php/84-kinondoni/latest-news/184-mnada-wa-magari-na-mitambo. D'salaam
http://www.kinondonimc.go.tz/index.php/84-kinondoni/latest-news/184-mnada-wa-magari-na-mitambo. D'salaam
A agripawilliasi New Member Joined Nov 29, 2015 Posts 2 Reaction score 0 Nov 29, 2016 #7 Mbna hayaonekani nkifungua?
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,783 Reaction score 95,577 Nov 29, 2016 #8 Post ya mwaka juzi hii.