UKIWA FACEBOOK kuna mambo noma sana.
MWANAMKE anajiita Cuttly beibz Pweeery Libs
ameposti:
"Uwiiiiiiiii" na ndani ya 5 minutes kuna 'like' 200 na
'comment' 140. Kwenye hizo komenti humo ndani
masela wanagombea kucomment hadi
wanaanzishiana bifu kinyama mpaka wanatukanana
mama na dada zao!
MWANAUME mstaarabu anajiita Jastin anaposti:
"Mchana Mwema Rafiki zangu, YESU awasimamie
kwenye kazi zenu, Nawapenda sanaaa Rafiki
zangu!" na ndani ya masaa 10 kuna 'like' 3 na
'comment 2. Comment zenyewe masela
wanamponda, "Acha ufala wewe hapa sio Kanisani
Unajifanya Mchungaaaaajiiiii!"
Buhahahahaha kwa namna hii kweli acha
wanawake waringe tu. Facebook bwana! Ndio
maana mimi, HATA KWENYE MAISHA HALISI,
sishindani na mwanamke hata kidogo.
Huu uzi umeanzishwa jana lakini hadi sasa comments ni za manati,...angekuwa kaanzisha demu, hali ingekuwa tofauti.UKIWA FACEBOOK kuna mambo noma sana.
MWANAMKE anajiita Cuttly beibz Pweeery Libs
ameposti:
"Uwiiiiiiiii" na ndani ya 5 minutes kuna 'like' 200 na
'comment' 140. Kwenye hizo komenti humo ndani
masela wanagombea kucomment hadi
wanaanzishiana bifu kinyama mpaka wanatukanana
mama na dada zao!
MWANAUME mstaarabu anajiita Jastin anaposti:
"Mchana Mwema Rafiki zangu, YESU awasimamie
kwenye kazi zenu, Nawapenda sanaaa Rafiki
zangu!" na ndani ya masaa 10 kuna 'like' 3 na
'comment 2. Comment zenyewe masela
wanamponda, "Acha ufala wewe hapa sio Kanisani
Unajifanya Mchungaaaaajiiiii!"
Buhahahahaha kwa namna hii kweli acha
wanawake waringe tu. Facebook bwana! Ndio
maana mimi, HATA KWENYE MAISHA HALISI,
sishindani na mwanamke hata kidogo.
Mkuuu wee face book unatumia jina gani!!UKIWA FACEBOOK kuna mambo noma sana.
MWANAMKE anajiita Cuttly beibz Pweeery Libs
ameposti:
"Uwiiiiiiiii" na ndani ya 5 minutes kuna 'like' 200 na
'comment' 140. Kwenye hizo komenti humo ndani
masela wanagombea kucomment hadi
wanaanzishiana bifu kinyama mpaka wanatukanana
mama na dada zao!
MWANAUME mstaarabu anajiita Jastin anaposti:
"Mchana Mwema Rafiki zangu, YESU awasimamie
kwenye kazi zenu, Nawapenda sanaaa Rafiki
zangu!" na ndani ya masaa 10 kuna 'like' 3 na
'comment 2. Comment zenyewe masela
wanamponda, "Acha ufala wewe hapa sio Kanisani
Unajifanya Mchungaaaaajiiiii!"
Buhahahahaha kwa namna hii kweli acha
wanawake waringe tu. Facebook bwana! Ndio
maana mimi, HATA KWENYE MAISHA HALISI,
sishindani na mwanamke hata kidogo.
[emoji3][emoji3][emoji3]Mkuuu wee face book unatumia jina gani!!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Ni ukweli mtupu.Mkuu pure math, hao ni wanawake wa 20-24 baada ya hapo soko hufa na kubaki kupost namtegemea Mungu wewe fanya research kidogo utaona
Hakuna binti wa miaka 30 wewe.Mara nyingi ni mabinti
Miaka 15- 35 tu.
Hii hali ni kweli mkuu...nenda kule MMU au Love connect ujionee nyuzi zinazo anzishwa na KE alafu ulinganishe na zile za ME ni kitu tofauti kabisa, yaani unakuta ME ana mada nzuri ila anapewa maneno ya kashfa kwenye comments kama....Chuo kimefunguliwa?......kizazi cha mwendo kasi....peleka hizi pumba FB au Insta.....Hadithi za kutunga peleka bongo movie.hapo colored nimecheka mno
Binti hadi 35! Huyo ashakuwa mmama wa binti!Mara nyingi ni mabinti
Miaka 15- 35 tu.
Hahahahahhalafu mademu wa mtandaoni wengi wabaya,picha mpaka ikaende hewani imepitia photoeditors kama nane,
na wanaume wengi wanao comment sana kwenye picha za mademu wengi ni madomo zege fanya research