Post picha yoyote tuitafsiri

Post picha yoyote tuitafsiri

fungi6

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2017
Posts
287
Reaction score
267
NB: Isiwe picha ambayo mtoto au mzee wa makamu ataisi ni laana ya hiki kizazi

Mimi nikanza na hii picha hebu anae weza itafsiri aitafsiri maana wabongo hiki ni kipaji chetu

1,
Screenshot_20200504-141118.png
 
NB: isiwe picha ambayo mtoto au mzee wa makamu ataisi ni laana ya iki kizazi

Mimi nikanza na i picha embu anae weza itafsiri aitafsir maana wabongo iki nikipaji chetu

1, View attachment 1439856
Kama Yesu alivyosema tazama huyu ni mwisrael kwelikweli, vivyo hivyo huyu mzungu nae anasema tazama huyu ni Mwafrika kwelikweli 😁
 
Back
Top Bottom