Form five selection ni lini jamani. Kuna shule za private zilianza masomo ya a level March, 2017!. Za serikali mpaka leo hata machaguzi bado. Ndalichako , you are failing terribly! With this new system of university application, abandoning CAS, we are done! Ndalichako, you are failing!
Tatizo unaweza ukawa umefaulu alafu unakuta umebalance comb tatu,sasa unashindwa ujiandae kwa comb ipi ndio maana ni bora zije mapema ili mtu akajiandae kwa comb aliyopangiwa maana huwezijua mwaka huu labda watakataa mwanafunzi abadilishe comb ndio maana bora tujue wanatoa lini izo selection ndio wengine tujiandae hata kwa muda MfupiSubr tu kama umefaul endelea kufany maandalz
Subiri ukichachaguliwa ndo ukasome, kwa Muda huu wewe pumzika tu, huchoki kusoma?Tatizo unaweza ukawa umefaulu alafu unakuta umebalance comb tatu,sasa unashindwa ujiandae kwa comb ipi ndio maana ni bora zije mapema ili mtu akajiandae kwa comb aliyopangiwa maana huwezijua mwaka huu labda watakataa mwanafunzi abadilishe comb ndio maana bora tujue wanatoa lini izo selection ndio wengine tujiandae hata kwa muda Mfupi
nimechoka kukaa kitaaVipi