Post moja watu mia saba duuuuh!!

Hatari sana..hapo kwenye compliance officer na finance officer ni majanga.
 
Sasa huku ni kupotezeana muda,unawezaje kuita watu 700 na ushee kwa nafasi moja ya kazi....This is too much utumishi...Siwezi kuudhuria hata kwa marungu
Msipoitwa mnalalamika, tatizo mnacopy na kupest CV kiasi kwamba maafisa utumishi wanashindwa kuchuja kutoka kwenye CV.
 
Ungesomea udaktari usingekua hata na stress za wapi upate ajira
 
Hahahhahaahhaa Pole sana Mpwa ila namuonea huruma huyo atakayefanya shortlisting
 
Sasa huku ni kupotezeana muda,unawezaje kuita watu 700 na ushee kwa nafasi moja ya kazi....This is too much utumishi...Siwezi kuudhuria hata kwa marungu
Kwahiyo ulitaka uitwe pekee yako....?? Ndio maana kuna usaili wa mchujo...........ila kama vipi endelea kusubiri interview utakayoitwa pekee yako.
 
mie nimeitwa afu siku hiyo ntakua mkoa kikaz..nimeumia kubania wengine nafasi wenye uhitaji.
 
sasa kwenye hili jukwaa unatafuta nin?
Mkuu kumbukua hili jukwaa ni la nafasi za kazi na tenda,Kwa hiyo yawezekana yeye anasupply huduma mbalimbali kwa hiyo anasaka fursa huku mara anakutana na post kama hii anaamua kutupia uzoefu wako.Sio mbaya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…